Mtifuano:Baada ya Syria Kudungua Ndege Ya Urusi ,Putin Hapokei Simu Za Assad!

hawa jamaa wajanja sana, wana usongo na Syria wanataka wamgombanishe Putin na Assad ili assad akose kinga wafanye watakavyo wao.
 
Russia siyo mjinga kiasi hicho amtose Assad ili hawa wehu wamwondoe waweke vibaraka wao wamzunguke
 
Sio kweli.

Swali ni jee nani aliiangusha hii ndege??? .

Ukweli nikwamba IFF system Za warusi zinajijua,..... Hapo hapo unaambiwa Ufaransa makombora yake hatujui yalipiga wapi.

Ukifikiria sanaa, utagundua Wamagaribi (NATO) walitega haka kamtego,ili urusi ilirudishe mashambulizi, alafu wapate sababu ya kuanzisha vita upya ndan ya syria ,naambayo ingepelekea vita kuu yatatu yadunia kitu ambacho wanakitaka.
 
“The Russian president did not answer Assad’s phone calls. He is certainly fuming at what they did, and already said that Israel is not responsible for what happened,” Katz said. “Assad tried to reach him and Putin didn’t answer. So he sent him a telegram.”
Israel: Putin angry at Syria over downing of reconnaissance plane
Nilishangaa kusikia Assad katuma telegram baada ya kutungua ndege ya warusi. Tukio kama hili unaongea na mhusika badala ya kutuma telegram. Taarifa hii ina make sense sasa.
 
nimeshindwa kabisa kupata upande wa pili wa story kudhibitisha hili la president Putin kukataa simu ya president Asaad na tuelewe kitu kimoja hapa kabla ya wakuu kupigiana simu kuna mawasiliano mengi behind the scene,ila ukweli ni kwamba jeshi la Syria lilifanya makosa makubwa mawili;kwanza walifyatua zile missile za kuangushia ndege bila ya kwanza to clear anga lao yaani kuhakikisha hakuna ndege rafiki au ndege zao kama ziliruka kwenda kukabiliana na ndege za Israel,pili hii ndege ya Urusi ni tofauti kabisa kwa kila kitu na ndege za Israel,kwa hiyo rada yao inewapa taarifa hii,na elewa hii ndege ilikuwa inajiandaa kutua kwa tayari mawasilano na air controllers yalishakuwepo na kosa jingine kubwa zaidi hii ndege iliangushwa wakati ndege za Israel zimeshaondoka kwenye anga ya Syria,ndio maana president Putin baada ya kupelekewa facts kuhusu kuangushwa kwa ndege yake hakuwa na hasira towards Israel.always ukweli ubakie hivyo.
 
Sio kweli.

Swali ni jee nani aliiangusha hii ndege??? .

Ukweli nikwamba IFF system Za warusi zinajijua,..... Hapo hapo unaambiwa Ufaransa makombora yake hatujui yalipiga wapi.

Ukifikiria sanaa, utagundua Wamagaribi (NATO) walitega haka kamtego,ili urusi ilirudishe mashambulizi, alafu wapate sababu ya kuanzisha vita upya ndan ya syria ,naambayo ingepelekea vita kuu yatatu yadunia kitu ambacho wanakitaka.
duh!!
 
WW SI KUNA SIKU ULISEMA HASSAN NASRALLAH ( KIONGOZI MKUU WA HIZBULLAH AUWAWA ) inaonyeshea unapenda sana itokee migogoro ila kwa hilo sahau na propaganda zko
 
“Russia is extremely angry at Assad and Iran which sends weapons to Hezbollah in Syria,” Katz added. “There is a reason they are concerned about the Russian reaction.” Russia “is not happy that Iran is firmly ensconced in Syria,” he said.

... uki-side na Shetani (Iran/Syria/Hezbollah) kuna siku atakutafuna tu! Warusi wajifunze.
 
ACHA KUPOTOSHA
Screenshot_20180924-130605.jpeg
 
Back
Top Bottom