Mtia nia Ubunge jimbo la Chato Bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi

Bi Hussina Amekamatwa na Watu Wanaosadikika Kuwa Ni Police, Na Yuko kituo Cha Polisi Geita.
NYUMBANI Kwake Kumejaa Polisi Njee na Ndani.
Kosa la Yeye Kushikiliwa Halijulikani.

Sasa amekamatwa na nani? Mara polisi mara watu wanao sadikiwa ni polisi!

Mbona ueleweki?
 
Bi Hussina Amekamatwa na Watu Wanaosadikika Kuwa Ni Police, Na Yuko kituo Cha Polisi Geita.
NYUMBANI Kwake Kumejaa Polisi Njee na Ndani.
Kosa la Yeye Kushikiliwa Halijulikani.
Mmeona udikteta uliokwisha anza hata kabla ya kampeni? Na ndio mambo haya yanakwenda kuwasha moto zaidi na kufanya uchaguzi uwe wa hovyo kama ulivyo wa mwaka jana serikali za mitaa.

Viva sana CDM kwani mnawasha moto hadi uani kwa jiwe, safi tupo nyuma yenu CDM CHATTLE!
 
Nafikili kichwa cha habari cha jieleza sana.

Binafsi nawaheshim sana maana ndo wenye mamlaka ya kulinda RAIA na Mali zao iwe mvua au jua.

Mada husika:
Tafadhali niwaombeni muachieni huyo mama HUSNA mwanachama wa chadema ,mnampaisha bure kisiasa bila sababu ,au kama vipi ili kutenda haki basi wakamate waliomchokoza kwa kushusha bendera zake ,maana ushahidi upo wa picha ukionesha vijana waliovalia tisheti za kijani wakiparamia bendera za chama chake.

Yatubidi kuelewa chama au dini ni imani ya mtu iwe mvua au jua huwezi huwezi mkataza mtu imani yake ,kwanza bendera ya chama kitu gani ingekua ya taifa sawa ila ya chama hata ikiwa karibu na mlango wa Magu aina shida.

Hebu vyombo vyetu jitenge na mambo ya kisiasa na eleweni Jeshi hili limekuepo hata kabla ya mwinyi,mkapa ,jk,wamelicha kama chombo huru hata Magu atalicha tu.

Narudia kuwaomba mhachieni huyo mama ,na wamama wa ccm na vyama vingine ni wakati wa kujifunza kutoka kwa huyo mama HUSNA kwamba lazima wahamini kile wanachokihamini sio kua bendera fuata upepo .

Nitangulize shukrani
 
Yule mama anatafuta kick tu hana lolote anadhani atapata ubunge kwa kuropoka!

Km amevunja sheria acha atumie hewa nzito kwa wiki hivi anaweza kubadilika
 
Ngoja kwanza mama apaishwe si ndo vizuri ili apate umaarufu.akakae karantini kwanza akili zimrudie.
ni vema kipindi kama hiki kupunguza wehu mitaani kwa kuwapeleka karantin.
 
Yule mama anatafuta kick tu hana lolote anadhani atapata ubunge kwa kuropoka!

Km amevunja sheria acha atumie hewa nzito kwa wiki hivi anaweza kubadilika
Wewe nae hebu pumzisha hilo jicho lako la nyuma kulitumia kuwaza.
Tumia kidogo hata kichwa.
 
Nafikili kichwa cha habari cha jieleza sana.

Binafsi nawaheshim sana maana ndo wenye mamlaka ya kulinda RAIA na Mali zao iwe mvua au jua.

Mada husika:
Tafadhali niwaombeni muachieni huyo mama HUSNA mwanachama wa chadema ,mnampaisha bure kisiasa bila sababu ,au kama vipi ili kutenda haki basi wakamate waliomchokoza kwa kushusha bendera zake ,maana ushahidi upo wa picha ukionesha vijana waliovalia tisheti za kijani wakiparamia bendera za chama chake.

Yatubidi kuelewa chama au dini ni imani ya mtu iwe mvua au jua huwezi huwezi mkataza mtu imani yake ,kwanza bendera ya chama kitu gani ingekua ya taifa sawa ila ya chama hata ikiwa karibu na mlango wa Magu aina shida.

Hebu vyombo vyetu jitenge na mambo ya kisiasa na eleweni Jeshi hili limekuepo hata kabla ya mwinyi,mkapa ,jk,wamelicha kama chombo huru hata Magu atalicha tu.

Narudia kuwaomba mhachieni huyo mama ,na wamama wa ccm na vyama vingine ni wakati wa kujifunza kutoka kwa huyo mama HUSNA kwamba lazima wahamini kile wanachokihamini sio kua bendera fuata upepo .

Nitangulize shukrani
Kuna jambo sijawahi kulielewa kabisa; hivi wakati matukio ya kigaidi yanaiandama dunia kulikua na haja gani yule anayelipua/kujilipua na bomu lazima awe na ndevu nyingi na kanzu au kizibao?

Aidha baada ya shambulio unasikia kundi fulani limekiri kutekeleza shambulio Hilo?

SASA
Vijana wa CCM wanahaja gani ya kuvaa t-shirt za chama na kwenda kushusha bendera za CHADEMA?

MY TAKE
Kuna ombwe kubwa sana la kisiasa kwa pande zote mbili chama tawala na upinzani hasa kwa vijana hawajui siasa na au la wanaendeshwa na hisia kiasi kwamba wanasahau misingi ya utu na sheria
 
Back
Top Bottom