Mti ufukuzao mbu

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,925
Miezi miwili iliyopita nilienda kununua miti ya kuotesha shambani . Mwuuzaji akanieleza kuwa mti fulani ni mzuri maana ni ant mosquito. Nikampuuzia lakini nikaununua -mmoja tu, na nikaupanda mwelekeo wa nyumba upepo unakotokea.

Huu mti umemea vizuri na supprisingly sijaona mbu tena. Je wana JF vipi mliwahi kusikia kitu hii? Ni ya ukweli. Tulikuwa jioni tunaspray dawa za kuua mbu lakini hamna mbuuuu .. Believe me. Jina la mti wenyewe silijui na wale jamaa wansema tu mti wa kufukuza mbu.
 
Ni kweli. Hata sisi tumeotesha sehemu. Ila jina nimesahau. Kuna wauza miti wengine nadhani ni watu wa forestry/ wanashirikiana na watu wa forestry ukienda wanakupa kabisa na scientific name ya mimea waliyonayo.

Kuna mmoja aliniambia kuhusu F. orientalis - ni ki "shrub" kifupi kinafanana na mti wa Krismasi...alinifurahisha sana.
 
Miezi miwili iliyopita nilienda kununua miti ya kuotesha shamabni . Mwuuzaji akanieleza kuwa mti fulani ni mzuri maana ni ant mosquito. Nikampuuzia lakini nikaununua -mmoja tu, na nikaupanda mwelekeo wa nyuma upepo unakotokea mara nyingi.

Huu mti umemea vizuri na suppsisingly sijaona mbu tena. Je wana JF vipi mliwahi kusikia kitu hii? Ni ya ukweli. Tulikuwa jioni tunaspray dawa za kuua mbu lakini hamna mbuuuu .. Believe me. Jina la mti wenyewe silijui na wale jamaa wansema tu mti wa kufukuza mbu.

ni sehemu gani umenunua mkuu ili nifuatilie?
 
Ulinunua wapi na mie nkautafute?
Siku za nyuma nlishawahi kuletea mche, nikaambiwa kuwa huwa unafukuza nbu.
Nilipoupanda ukafa, nikaagiza mche mwingine, na nikaomba maelekezo mazuri zaidi ya kuuotesha.aliyenipa akanimaliza kabisa nguvu,
akasema huo mti ni vigumu kuota mpaka uunuie maneno fulani kwa kuwa hufukuza wachawi pia,
kwa hiyo wachawi wanauangamiza kabla haujawa mkubwa.nikamua niachane nao.
 
Miezi miwili iliyopita nilienda kununua miti ya kuotesha shamabni . Mwuuzaji akanieleza kuwa mti fulani ni mzuri maana ni ant mosquito. Nikampuuzia lakini nikaununua -mmoja tu, na nikaupanda mwelekeo wa nyuma upepo unakotokea mara nyingi.

Huu mti umemea vizuri na suppsisingly sijaona mbu tena. Je wana JF vipi mliwahi kusikia kitu hii? Ni ya ukweli. Tulikuwa jioni tunaspray dawa za kuua mbu lakini hamna mbuuuu .. Believe me. Jina la mti wenyewe silijui na wale jamaa wansema tu mti wa kufukuza mbu.

Upinge picha na unitumie masanilo@jamiiforums.com, ama niPM inaweza kuwa dili!
 
Mfamaji,

Please tupe address ya ulipo nunua mti huo hili na sisi tukajaribu - Malaria inatuangamiza!
 
tupe maelezo wapi uliko nunua nasi tukajikamatie japo miwili mitatu
 
Miezi miwili iliyopita nilienda kununua miti ya kuotesha shamabni . Mwuuzaji akanieleza kuwa mti fulani ni mzuri maana ni ant mosquito. Nikampuuzia lakini nikaununua -mmoja tu, na nikaupanda mwelekeo wa nyuma upepo unakotokea mara nyingi.

Huu mti umemea vizuri na suppsisingly sijaona mbu tena. Je wana JF vipi mliwahi kusikia kitu hii? Ni ya ukweli. Tulikuwa jioni tunaspray dawa za kuua mbu lakini hamna mbuuuu .. Believe me. Jina la mti wenyewe silijui na wale jamaa wansema tu mti wa kufukuza mbu.

Malaria HAIKUBALIKI!
 
Jamani leteni mti huo/semeni unapatikana wapi????????????? Hata kama sumbawanga tutaufuata
 
Miezi miwili iliyopita nilienda kununua miti ya kuotesha shamabni . Mwuuzaji akanieleza kuwa mti fulani ni mzuri maana ni ant mosquito. Nikampuuzia lakini nikaununua -mmoja tu, na nikaupanda mwelekeo wa nyuma upepo unakotokea mara nyingi.

Huu mti umemea vizuri na suppsisingly sijaona mbu tena. Je wana JF vipi mliwahi kusikia kitu hii? Ni ya ukweli. Tulikuwa jioni tunaspray dawa za kuua mbu lakini hamna mbuuuu .. Believe me. Jina la mti wenyewe silijui na wale jamaa wansema tu mti wa kufukuza mbu.

haaa haaa.....kiswahili tunaita mti kunuka, sio mbu tu unafukuza hata binadamu. I guess the species is Cedrela odorata (Spanish Cedar)
 
Hii imekaa kiporojo zaidi, acha tusubiri ushahidi wa picha ama aliponunulia huo mti
 
Miezi miwili iliyopita nilienda kununua miti ya kuotesha shamabni . Mwuuzaji akanieleza kuwa mti fulani ni mzuri maana ni ant mosquito. Nikampuuzia lakini nikaununua -mmoja tu, na nikaupanda mwelekeo wa nyuma upepo unakotokea mara nyingi.

Huu mti umemea vizuri na suppsisingly sijaona mbu tena. Je wana JF vipi mliwahi kusikia kitu hii? Ni ya ukweli. Tulikuwa jioni tunaspray dawa za kuua mbu lakini hamna mbuuuu .. Believe me. Jina la mti wenyewe silijui na wale jamaa wansema tu mti wa kufukuza mbu.

Duh! miezi 2 umeota?????????????..........au umepandia dawa za kichina?????
SIAMINI MPAKA NIONE.
 
Nitawatumia picha kede kede nikitoka ofisini wala msijali na hakuna porojo mkuu. Ni ukweli mtupu.
 
Miezi miwili iliyopita nilienda kununua miti ya kuotesha shamabni . Mwuuzaji akanieleza kuwa mti fulani ni mzuri maana ni ant mosquito. Nikampuuzia lakini nikaununua -mmoja tu, na nikaupanda mwelekeo wa nyuma upepo unakotokea mara nyingi.

Huu mti umemea vizuri na suppsisingly sijaona mbu tena. Je wana JF vipi mliwahi kusikia kitu hii? Ni ya ukweli. Tulikuwa jioni tunaspray dawa za kuua mbu lakini hamna mbuuuu .. Believe me. Jina la mti wenyewe silijui na wale jamaa wansema tu mti wa kufukuza mbu.

Usukumani pia kuna mti mdogo unaitwa malumba, tulikuwa tunautumia kwa ajili ya kujikinga na mbu wakati wa kulala usiku, halafu kesho yake kukicha tunatumia kama fagio kwenye uwanja wa nyumba. Unaukata halafu unaingia nao chumbani kwako. Waliosomea elimu ya mimea naomba watuthibitishie kama ni wenyewe au kuna mti mwingine tena siku hizi. Nitaomba kuufahamu!
 
Miezi 2 tu umeshakua mkubwa???

Makofia , usiwe kama Tomaso. Sijasema umekuwa mkumbwa ila umemea kwa sababu ulitoka kitaluni na una kama futi mbili tu .Tena walianiambia nisoteshe karibu sana na nyumba maana huwa unakuwa mkubwa. Siju ukikuwa zaidi itakuwaje. Ngoja tuone. Hamna dawa za kichina wala nini.

Kumbuka hata mimi sikuwaamini wale jamaa .Lakini kwangu hamna mbu . Bonge la issue . Wataalam wa mimea mko wapi?
 
wataalamu tupo.....ndio maana nimekwambia inawezana unazungumzia mti kunuka (Cedrela odorata) ambao sio tu mbu bali unafukuza hata binadamu kwa harufu yake mbaya!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom