Mti mrefu kuliko yote Afrika ndani ya msitu wa Kilimanjaro

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
10,303
8,251
Mti huu upo Kijiji cha Tema Old Moshi Mbokomu

Mti huu una urefu wa mita 81.5 ,una miaka zaidi ya 600 na unakadiriwa kuishi miaka 300 zaidi.

Jina lake kwa kitaalamu ni ENTANDROPHRAGMA EXCELSUM au MKUKUSU.

Karibuni Moshi mjionee utalii wa ndaniView attachment 1458945
FB_IMG_15903757070268517.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom