Princesscharming
Member
- Mar 20, 2019
- 61
- 51
Hii tafiti kumbe ya muda clauds wametangaza jana kama vile mpya
kumbe clouds bado ipo, nikajua imekufa na wenyeweHii tafiti kumbe ya muda clauds wametangaza jana kama vile mpya
Ipo Judge inchargekumbe clouds bado ipo, nikajua imekufa na wenyewe
Ko unataka mti ukuletee chakula pambana mkuua country with millions of blessings but citizens are living like hell
Ko unataka mti ukuletee chakula pambana mkuu
Kilimanjaro kwa vitu virefu hamjamboHabari wakuu,
Watafiti kutoka chuo kikuu cha Bayreuth wamegundua kuwa mti uliopo kwenye mlima Kilimanjaro ni mrefu zaidi barani Afrika ukiwa na urefu wa mita 81.5. Miti 10 mirefu zaidi barani iliyopimwa tangu mwaka 2012 ina urefu kati ya mita 59.2 na 81.5 na upana wa mita 0.98 mpaka 2.55.
Kwa kawaida miti mirefu zaidi duniani huwa haipatikani barani Afrika.
=======
Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua kile wanaamini kuwa ni mti mrefu zaidi barani Afrika. Mti huo uko bonde moja lililo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania.
Wanasayansi kutoka chuo cha Bayreuth nchini Ujerumani, wanasema wanaamini kuwa mti huo unaopatiknan karibu na mlima Kilimanjaro ndio mrefu zaidi barani.
Mmoja wa wanasayansi hao alisema kuwa aliona mtu huo miaka 20 iliyopita, lakini ni hadi hivi majuzi wakitumia vifaa maalum walifaulu kupima urefu wake.
Mti huo kutoka familia ya Entandrophragma excelsum una urefu wa mita 81.
Wanasayansi nchini Tanzania bado hawajatoa taarifa yoyote kuhusu ugunduzi huo.
Wanasayansi waliogundua mti huo sasa wanataka ujumuishwe kwenye kumbukumbu ya miti isiyo ya kawaida duniani.
Chanzo: BBC
hata kama ni mrefu kiasi gani unaezapiga picha tu. utaalam tu unahitajika. simama chini ya mti then piga kutokea chini.
Wanasanyansi wa Tanzania hamna kitu kwanza hawajui English ya kuongea! na hawajawahi Gundua chochote kile. haswa hawa wa Awamu hii wanapewa vyeo alafu wanaboronga ''kweli kweli'' karibu wote hawajui hata nzi ana miguu mingapi! ukiachia Jongoo...
Usemalo ni kweli miguruka ni mirefu sana sana nafikiri ni kutokuwa na watafiti tu ndio maana haijulikaniNafikiri siyo kweli. Nahisi Miti mirefu zaidi iko Ngara katika vijiji vya Mwivuza na Chivu.
Kuna miti flani inaitwa MIGURUKA(SKY IS THE LIMIT), ambayo unaweza kuuona huo mti ukiwa umbali wa km hata 10.