Bururu
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 877
- 584
Nimekuwa nikiomba Mteule wa RC wa Dar asitenguliwe kwa kipindi hiki kigumu kwake kwa sababu ndiye anafaa sana huu mkoa sugu wa maovu,uonezi wa wanyonge,
Hata hao Mawingu Radio leo wanalalamika kwa sababu yamewakuta, Sasa waulizen wakati wa kampen hawakujua ipo siku kama iyo?Walikuwa wanafurahia ya wengine leo kwao,Pili waulizen wasanii kama Lady JD au Mr Nice kuhusu hao jamaa wa mawingu Radio ndo mtajua Mtenda akitendewa anakuwa na machungu zaidi
NB: MAKONDA NDIO RC ANYEIWEZA DAR NA DAR ILI IBADILIKE INAMWITAJI MAKONDA.
BIG UP MTEULE KWA KUSIKIA MAOMBI YANGU Na si Umbea