Mtetezi wa Wamachinga ni nani?

Hao machinga wasubirie kipindi cha uchaguzi tu ndo thamani yao itapanda
Kwa Katiba ya nchi iliyopo, CCM haihitaji wapiga kura ili kupata kura. Huikuhitaji wewe wala mmachinga.
Hata wasipoenda kupiga kupiga kura, wao watapata idadi % wanayohitaji.
Tume ya uchaguzi wanateua wao, ma DED wao, Polisi, TISS
1635103684155.png
 
Yatima hadeki ndiposa najiuliza Watetezi wa Wamachinga ni nani?

Ni kile chama cha Wakulima na Wafanyakazi (CCM) au ni hiki chama cha wafanyabiashara (Chadema)?

Kwani kura walimpa nani?

Nani kakwbia siku hizi kuna kura😂 yaani inabidi usimame mwenyewe kura siku hizi wanazo wakina Sirro
 
Nchi ina watu wa ajabu Sana yaani watu wanavunja Sheria then wanataka watetewe badala ya Sheria kuchukua mkondo wake huwez kufanya biashara kwenye njia ya wapita kwa miguu ukataka utetewe ili undelee kuvunja Sheria.
 
Yatima hadeki ndiposa najiuliza Watetezi wa Wamachinga ni nani?

Ni kile chama cha Wakulima na Wafanyakazi (CCM) au ni hiki chama cha wafanyabiashara (Chadema)?

Kwani kura walimpa nani?
Kuhusu kura hapo unakosea maana hakukua na uchaguzi Bali uchafuzi
 
Nchi ina watu wa ajabu Sana yaani watu wanavunja Sheria then wanataka watetewe badala ya Sheria kuchukua mkondo wake huwez kufanya biashara kwenye njia ya wapita kwa miguu ukataka utetewe ili undelee kuvunja Sheria.
Hakuna kuwatetea hawa bado wale wanaopanga vitu kwenye maduka yao had I barabarani na kuzuia maduka mengine hawako tofauti na wamachinga
 
Back
Top Bottom