mtendewa mema na alietenda wema nan ambaye hasahau ?

wahida

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
385
125
na maanisha kwa mfano una friend wako ulimpenda sana kiasi ya kuwa nafsi ikaanza kumpenda na ukawa una mfanyia mengi ili kumfurahisa ila hamujahi kutana face to face
rafiki wa barua .ila kukatokea mambo ikawa una ona hana muelekeo na ww in future na ukajaribu kuamuacha na maisha yake but you have done alot ya ubiinadamu kwake ,so kati ya hawa nan atakumbuka zaid mtoa service au mpewaji services?
 
Hebu elezea vizuri ueleweke basi......unamfanyia mengi kumfurahisha lakini hamjawahi kuonana????!!!! Naona mgeni kidogo ktk eneo hilo labda unieleweshe.
 
sorr kiswahili cha kizanzibar ? ila mtendewa wema na alietenda wema nan hatosahau kati yao?
 
mie nimekuelewa wahida.........inategemeana kila mmoja alijisikiaje kuhusiana na mwenzie..............lakini nifahamuvyo tenda wema nenda zako usisubiri shukrani kwani atakayekushukuru ni Mwenyezi Mungu kwa sababu umemkopa Yeye................................lakini pia wema hauozi................nionavyo wote watakumbukana ingawaje kwa sababu tofauti kabisa................
 
Last edited by a moderator:
that why I........U BECAUSE ww n fantastic and unaunderstand
 
Back
Top Bottom