Mtendaji wa Kijiji amchapa vibao Mwananchi kisa kuvuta sigara hospitali

Huyo jamaa sio muungwana yaani kavuta sigara hospitalini makofi aliopata atatia akili siku za mbeleni potelea mbali...
 
Mamlaka ya kutoa hukumu na adhabu huyo mtendaji anayapata wapi?... Tusiishi Kama ng'ombe huku taratibu na kanuni zipo.

Kuchapana bakora na kupiga watu huu Ni ukoloni wa kidikteta..
Weee!! ndo umewaza km mie ila Mimi ningeenda mbali zaidi!!, huyo Mtendaji angesimulia ukoo wake mzima,makubwa ambayo yangemkuta!! kwani yeye nani kuzaba watu vibao hovyo? Mahakama zipo za nini? Kwa nini asinishtaki huko?

yaani hata anipeleke polisi, sijui Mahamani kesi ingembadilikia huyooo!! hee!! kuwa ndiye aliye zaa na mke wangu, sasa analia wivu mimi kuwa pale kumuona mke wangu nilimuonnya mara kibao hakusikia mpaka amempa mimba!

Hata Polisi walio na shule za kawaida tu! hawavamii watu hovyo hovyo km huyu mtendaji!! nakwambia akili ingemkaa sawa na yasingeishia hapo hapo hivi hivi!! dhambi hiyo ingemtafuna mpaka alie pooo!!! kure taarime angejamba cheche!!!!

jambo la hivi siyo ukoloni tu!! ni wendawazimu mkubwa!!! kupiga mtu mzima km baba yako tena hadharani ni aibu kwako pia wewe mpigaji!! sasa km mtu hakufundishwa adabu tangia kwa *****!! ni kufundishwa hizo adabu na sisi Walimwengu!!

sirikali ina ajili watu vichaa Sana!! ndo km huyu!! dawa yake ni kuwa kichaa zaidi ya yeye kwa mda!! ajue kuwa kuna vichaa fresh zaidi yake!! ndo wange kwenda sawa!! tena siyo ajue tuu alicho tenda !! ajutie kosa lake kwa dhati ya moyo!!!
 
Bidadaa, Watanzania bila mboko hawaendi
Miafrica ndo mlivyo!! Nyerere alikosea sana kuleta uhuru mapema!! mlipaswa mtandikwe kisawasawa kwanza muive!! takribani mlitakiwa mpate uhuru kwenye mwaka 2099 huko!! sababu mwaka 1961 mliwaishwa mnooo!!

ndo maana pia mliuza ndugu zenu utumwani tena bei Rahisi tu! na mlifurahia kile kitendo hicho, bila kujali!! sasa leo mnawasingizia Wazungu na Waarabu wa watu!! Oooh! eti waliwauza!! kuuumbe damu ya Mitabia Mibovu bado ipo!! ndo km hii sasa!!

Mmmasai tu! ndo alikataa kuuza watumwa! yeye na ndugu zake hata jirani hawakuguswa!! ndo ujue kwamba wale Maniga wa leo kule USA walijipeleka wao kwa hiri yao!! Kuwa watumwa kwa tabia km hizi!!!

kumbe mabaki na uozo huo wa kuuza ndg zenu! bado mpo/upo nasi!! Ndo maana sasa ujue hao Maniga walikataa offer ya kurudi Africa!! pamoja na kuahidiwa nchi yao pekee, mitaji, na uhuru wa kurudi USA, bila kikwazo na watakavyo,

But walikataa katakata mpaka leo hawataki uhusiano na Africa pamoja na kwamba wanauawa na wazungu wanaona ni bora wafe kwa risasi ya Mzungu kuliko kuishi na Miafrica km Jasmoni Tegga!!

Maniga wooote, Jalawa peole, Aboriginals Duniani kote hawa hawajawahi tamani kurudi Africa ya vichaa!! km hii ya Jasmoni!!! ulizia uambiwe!!
Kumbe sasa naamini Jiwe tena mtu mmoja tu alikuwa sahihi!! kuwaponda vichwa! na kuwapeleka mpera mpera!! mlikulana wenyewe kwa wenyewe!! mkapotezana, kunyoosheana vidole!!

Kamwe Mzungu hawezi jichanganya na nyie!! kwa tabia hizi mkizaa nao watoto wanawakimbia wanataka Uzungu,, km watoto wa Remmy!! Dr Sarungi, Dr winani, yaani hawawataki kabisaaa!!

waarabu ni ndg zenu lkn waliwakataa mpaka leo, japo mna muunganiko wa damu!! tabia ndo km hizi!! wazungu hapa wange laumu viwanda, Na mamlaka baaasi!!

Sasa?? Mahakama zipo za nini?? hao Uongozi wa Hospital upo wa kazi gani, wanausalama wanao linda Hospitalini kazi yao nini?? tena huyu ni kumuelimisha tu!! kwa nini viwanda viendelee kuzalisha sigara?? wakavutie wapi sasa?? weka matangazo, hata picha basi!!!

Kubwa zima tena kitendo cha kuwa umo humu JF forum, ina maana wewe ulienda shule una Nywele kila mahali, eti una shangilia Mwafrica mwenzako kudhalilishwa na Jiafrika lenzako mweee!! hivi kweli una akili weye?? Mamlaka ya Hosp! si ipo??

Sitaki kusema unastahili kunyongwa kwa kutendo cha kushangilia mweusi akiumizwa na mweusi mwenzako/ke !!!
sasa km wewe uko hivi dhidi ya Mmatumbi mwenzio!! je ngozi nyeupe atakukuchukuliaje weye na weusi woote??

kumbuka hii sheria ya sigara ni hatari imetoka uzunguni!!! mitambo pia ni yao!! wewe pia ni mali yao uchunguzi wamefanya wao, kwanza wao siku hizi hawavuti, wewe umeletewa tu Viwanda vimetoka uzunguni!! Mitambo imetoka uzunguni, unalia lia hapa!

wasimamizi ni wazungu, Faida kubwa ni ya Wazungu!! na Tumbaku na wafanyakazi wa chini, wakulima na wauzaji wa Tabora, ni ndugu zako weusi! kiwanda vipo kwa ardhi yako!! hao nao wanafaidika na pesa ya mvutaji!!

KM jasiri hivo aende akawapige wazungu vibao aone km atarudi kula ulanzi tena. Mnakurupuka sana km wenda wazimuuuu!! ndo maana nasema na ninarudia tena Miafrica siyo kwamba mnasafari ndefuu tu!! ni majinga mnooooooo!!kulogana tyuuuu!! km ivi!!
 
Back
Top Bottom