dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,905
- 8,245
Angempiga hata risasi, mivuta sigara/bange inaboa sana sana sanaaa! Sh*nzi kabisa yaani.
Weee!! ndo umewaza km mie ila Mimi ningeenda mbali zaidi!!, huyo Mtendaji angesimulia ukoo wake mzima,makubwa ambayo yangemkuta!! kwani yeye nani kuzaba watu vibao hovyo? Mahakama zipo za nini? Kwa nini asinishtaki huko?Mamlaka ya kutoa hukumu na adhabu huyo mtendaji anayapata wapi?... Tusiishi Kama ng'ombe huku taratibu na kanuni zipo.
Kuchapana bakora na kupiga watu huu Ni ukoloni wa kidikteta..
Miafrica ndo mlivyo!! Nyerere alikosea sana kuleta uhuru mapema!! mlipaswa mtandikwe kisawasawa kwanza muive!! takribani mlitakiwa mpate uhuru kwenye mwaka 2099 huko!! sababu mwaka 1961 mliwaishwa mnooo!!Bidadaa, Watanzania bila mboko hawaendi
Na mvuta sigara mamlaka ya kuvuta ovyo sigara na kuhatarisha maisha ya watu ameyatoa wapi??Mamlaka ya kutoa hukumu na adhabu huyo mtendaji anayapata wapi?... Tusiishi Kama ng'ombe huku taratibu na kanuni zipo.
Kuchapana bakora na kupiga watu huu Ni ukoloni wa kidikteta..
Halafu weye Mamii!! nakuku bali sana!! uko ofisini gani hapo Bongo nije? una hekima flani hiviWote hawako sahihi
Shukrani sana karibuHalafu weye Mamii!! nakuku bali sana!! uko ofisini gani hapo Bongo nije? una hekima flani hivi