ZIWATANGANYIKA
Member
- Apr 10, 2019
- 33
- 13
Sisi wakazi wa kata ya Kwakilosa iliyopo katika manispaa ya Iringa hatumtaki huyu mtendaji wa kata aitwaye Upendo Msafiri Amulike na tumeshaleta malalamiko yetu kwa ofisi ya mkurugenzi manispaa Iringa lakini ndugu Ahmed Njovu halitendei kazi. Hapa katikati wamehamishwa watendaji wengi wa kata lakini yeye hakuhamishwa na anatutambia kuwa hakuna wa kumwamisha maana wakubwa hapa manispaa Iringa wanamlinda na tabia zake wote wanazijuwa hapa manispaa Iringa.
Tunaomba serikali imchunguze maana kuna ubadhilifu wa fedha sana za kata, kuna wakati ziliibiwa pesa za uchaguzi ni yeye ametumia, amenunua viwanja sehemu mbalimbali na bodaboda nyingi hapa mjini anamiliki kama hamuamini fuatilieni miamala yake ya benki. Ni mtendaji ambaye anamiliki mali nyingi kuliko watendaji wengine.
Tunaomba Rais wetu mama yetu mama Samia Suluhu Hassan ingilia kati hili jambo. Huyu mtendaji wa kata Upendo Msafiri Amulike anatuumiza kwa faini ambazo si haki. HATUMTAKI HUYU MTENDAJI MTUTOLEE KWENYE HII KATA