Mtendaji mkuu wa DailyNews

Stephano

Member
Dec 30, 2008
27
4
jana nilikutana na watu wakijadili watarajiwa wa kuongoza TSN. waliotajwa ni

Muhingo Rweyemamu ambaye alihusishwa na kusafisha ufisadi na kuwa ataigeuza dailynews chombo cha kusafishia mafisadi.

Innocent Mungy ambaye alidaiwa kuwa ni mzungumzaji mzuri ila si mtendaji kabisa dailynews itakufa

Mtendaji mkuu wa dailynews ni nani?
 
Muhingo hawezi kupewa hiyo kazi, Habari imemshinda na hajui management, shule yake haitoshi na hana charisma ya kuongoza shirika.
Mungy ni mbeba maboksi kule Uingereza, hajawahi kuandika hata stori moja, alikuwa ATC amewekwa tu na alikuwa hafanyi chochote. P'se JK appoint a serious person not these people! Ebu fanya kama ulivyofanya TBC, mtu kama Tido ndo anatakiwa. Kwa ushauri tu, nadhani amrudishe Yusuph Mruma alikuwa anafanya kazi nzuri saaaaaaana!
 
Back
Top Bottom