Mtemvu tumekukumbuka wakazi wa Temeke Miundombinu, michezo na vikoba

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Mheshimiwa barabara hazipitiki ziwe za mitaa, kuu, mashimo toka mvua zikatike.
Tandika-CCM-Bakwata - Alimboa
Mwanga lodge- hospitali ya Malawi
Relini - Vingunguti
Tandika -fundi umeme- kiviwe samli
Lumo -Sigara

Mbunge kakimbia ; Kagoma kushukuru.

Maji mpaka sasa hakuna cha Dawasco wala hatujui Gari na ofisi za Dawaso ziko wapi.

Kina mama vikoba vimekatika mitaji.

Tunakulilia mbunge; fungua kesi uone mwitikio
 
Kuna jamaa yangu alikuwa analalamika pia...barabara za TMK zilikuwa zinakarabatiwa mara kwa mara these days ni sheeder
 
Hivi kwa miaka yote aliyokaa bungeni angekuwa amefanya la maana mngekuja kulilia barabara hapa? Barabara, hospital vilitakiwe viwe vilishajengwa kitambo huyu wa sasa afanye kazi nyingine, mlizoea kuwekewa vumbi la elfu 50 wakati amepewa lmilioni 50, chanji inayobaki anawahonga kina mama n vicoba na kuhonga Lundenga mwanae apewe umiss, halafu majiliza eti alikuwa mbunge makini, walio mkataa walijua uongo wake, au zile ajira za kuwa mahouse girl arabuni ndio mmezimiss? Dawasco?! miaka yote hiyo alishindwa kuwaletea maji? kwa hiyo hata kwa mtemvu hakuna maji? Kwanza mtemvu mwenyewe "yahaya" wala haishi temeke angewafanyiaje maendeleao? UKAWA ndio mkombozi subirini mambo mazuri
 
hupo mbeya nn,
mwendokasi tunausikia,
HAKUNA UDA
NYUMBA ZA KUPANGA WATU WANAKIMBIA , KIPATO KIMEPUNGUA.
UNAYANYASAJI WA MACHINGA WA TEMEKE NA MBAGALA TUNAFUKUZWA K/KOO
SIJUI WAKIANZA KUBOMOA NYUMBA ZA TEMEKE -BUZA -JET ; ILI KUONDOA FOLENI YA UJENZI WA DARAJA LA JUU.

HOSPITALI PEKEE YA MALAWI AINA BARABARA WALA DAKTARI .

TUHURUMIE MUNGU WANGU SISI WAKOSEFU
 
CCM nao wanalialia kupoteza majimbo 50 + kati ya majimbo zaidi ya 300? shame on you. Mmefanya nini kwa majimbo mengine mengi ambayo yanaongozwa na wabunge wenu kwa zaidi ya miaka 50?
 
Mheshimiwa barabara hazipitiki ziwe za mitaa, kuu, mashimo toka mvua zikatike.
Tandika-CCM-Bakwata - Alimboa
Mwanga lodge- hospitali ya Malawi
Relini - Vingunguti
Tandika -fundi umeme- kiviwe samli
Lumo -Sigara

Mbunge kakimbia ; Kagoma kushukuru.

Maji mpaka sasa hakuna cha Dawasco wala hatujui Gari na ofisi za Dawaso ziko wapi.

Kina mama vikoba vimekatika mitaji.

Tunakulilia mbunge; fungua kesi uone mwitikio
Huyu anauhusiano wowote na yule miss Tanzania aliyekuwa na documents zilizopingana tarehe ya kuzaliwa?
 
Mimi nadhani hakuna haja ya kuendelea kumkumbuka zaidi kwa sababu mmeshajua alikuwa anatoa hiyo misaada ili kuwahadaa mzidi kumchagua. Kama angekuwa ana lengo la kuwasaidia wananchi basi asingesitisha hiyo misaada baada ya kushindwa ubunge, kwa mfano Vedastus Mathayo mbunge wa Musoma Mjini aliposhindwa ubunge 2010 hakuacha kutoa misaada kama awali.
 
Mheshimiwa barabara hazipitiki ziwe za mitaa, kuu, mashimo toka mvua zikatike.
Tandika-CCM-Bakwata - Alimboa
Mwanga lodge- hospitali ya Malawi
Relini - Vingunguti
Tandika -fundi umeme- kiviwe samli
Lumo -Sigara

Mbunge kakimbia ; Kagoma kushukuru.

Maji mpaka sasa hakuna cha Dawasco wala hatujui Gari na ofisi za Dawaso ziko wapi.

Kina mama vikoba vimekatika mitaji.

Tunakulilia mbunge; fungua kesi uone mwitikio
Wewe nae , Mtemvu alitengeneza barabara ? Unamaanisha aliposhindwa uchaguzi ameamua kuchukua barabara alizowatengenezea? Umezuiwa kujiunga na vikoba kwan? Usitake kumwaminisha Mtemvu kuwa anahitajka na wana TMK akaanza kupoteza pesa bure
 
Walijaribu kuonja sumu
Inaonekana nyie mlikula pesa zake sana, leo ameanza kuwadai mnataka kuonesha hapa jamaa alikuwa anakubalika . Achen uongo. Kama kuna mambo mazuri amefanya si mtuoneshe tuyaone??? Mnalalamikia barabara , hii n aibu mnaonesha mtemvu hakufanya lolote .
•WATU WA TEMEKE MLIFANYA KOSA KUBWA SANA KWA DHATI KABISA LITAWAGARIMU.
MMEMWACHA MTEMVU HAHAHA!!!.
 
Mnafiki sana wewe, km miaka yote alokaa bungeni alishindwa kukuwekeeni lami na mlichekelea, Leo ndani ya miezi sita unashishaua kuongea ujinga wako hapa, heri ungekuwa unawanga tungejua moja kuliko huu unafiki wako
Walikula pesa za jamaa naona , wanaona aibu wanapokutana nae kwenye vikao vyao
Hivi kwa miaka yote aliyokaa bungeni angekuwa amefanya la maana mngekuja kulilia barabara hapa? Barabara, hospital vilitakiwe viwe vilishajengwa kitambo huyu wa sasa afanye kazi nyingine, mlizoea kuwekewa vumbi la elfu 50 wakati amepewa lmilioni 50, chanji inayobaki anawahonga kina mama n vicoba na kuhonga Lundenga mwanae apewe umiss, halafu majiliza eti alikuwa mbunge makini, walio mkataa walijua uongo wake, au zile ajira za kuwa mahouse girl arabuni ndio mmezimiss? Dawasco?! miaka yote hiyo alishindwa kuwaletea maji? kwa hiyo hata kwa mtemvu hakuna maji? Kwanza mtemvu mwenyewe "yahaya" wala haishi temeke angewafanyiaje maendeleao? UKAWA ndio mkombozi subirini mambo mazuri
 
Oyeeeeeeee. Hata barabara ndugu yao hakutengeneza halafu wanatupa lawama kwa MTU ambaye hajamaliza hata mwaka. Akili za Lumumba na Chimwaga
umeambiwa hizi ni season road;
hapa mjini permanent road.

kwann atufanye kama wa mashambani.
 
Back
Top Bottom