ameniuzi sana kuuza akina dada uarabun ili wawe house girls
And sex toysameniuzi sana kuuza akina dada uarabun ili wawe house girls
Unamzungumzia mbunge gani? Mchomvu?
Mchomvu anajishurisha na biashara nyingi sana sio hiyo ya slave trade pekee.
Leo jamaa alitaka kutoa shilingi kwa sababu wizara ya mambo ya nje imezuia watu kwenda Uarabuni kufanyiwa vitendo vya kinyama! Lakini bado anangangania kupeleka watu!
Je ni muuzaji wa watu huyu jamaa!?