Mtela Mwampamba anusurika kichapo Mbozi eneo la Mlowo

Status
Not open for further replies.

mpepo

Senior Member
Feb 17, 2011
106
73
Wale Vijana waliofukuzwa CHADEMA na kujiunga na CCM leo wakiwa wameongozana na Naibu katibu Mkuu wa CCM -Mwigulu katika Wilaya ya MBOZI wamefanya mkutano wa hadhara pale MLOWO ambapo ndiyo eneo alotokea MWAMPAMABA. mkutano ulikuwa na watu wa vijijini ambao walibebwa kwa magari kuja kwenye mkutano ambao ulitangazwa sana na REDIO ILASI ya mbozi kwa siku 5. Hali ilikuwa mbaya kwa MWAMPAMBA pale vijana WA MLOWO wakaanza kuimba wakimwambia MWAMPAMBA awarudishie pesa zao walizomchangia wakati akiwa CDM. ulinzi uliimarishwa sana na baada ya MWIGURU kusoma mazingira akahutubia kwa tahadhari akiwataka wananchi wachangie shule za KATA. Baada ya MKUTANO mwampamba na JULIANA wamekimbia kwenda kulala MBEYA MJINI wakiongozana na MWIGURU ameshindwa hata kweanda kuwasalimia wazazi wake kwa HOFU.

souce MIMI MWENYEWE ENEO LA TUKIO.
 
Yuda Iskariote alimalizia maisha yake kwa kujinyonga kwa sababu ya usaliti. Nasikia Mwigulu ni Graduate, nadhani naye ni matokeo ya kuongezewa ongezewa tu alama kwa nini hana uwezo wa kusoma alama za nyakati. HIVI WATANZANIA WA SASA NI WA KUDANGANYWA, nampa ushauri wa bure atumie muda mwingi na wenzake kuhakikisha kwamba ile ahadi yao ya maisha bora kwa kila Mtanzania ndo mchawi wao.

Wasitumie muda mwingi kudhani CHADEMA ndo adui yao, Kauli mbiu yao ndo kaburi lao. Watapambana vita ambayo hawataishinda. Wasome na historia ya anguko la vyama vyote vikongwe wamebakia wao tu na sasa ndo dalili za kifo chao imeanza wala hawawezi kukwepa hata iweje.

hawajapopolewa na mawe huko? Mchungaji Msigwa kama yuko Mbeya asije akapewa kesi ya uchochezi
 
Wale Vijana waliofukuzwa CHADEMA na kujiunga na CCM leo wakiwa wameongozana na Naibu katibu Mkuu wa CCM -MWIGURU katika Wilaya ya MBOZI wamefanya mkutano wa hadhara pale MLOWO ambapo ndiyo eneo alotokea MWAMPAMABA. mkutano ulikuwa na watu wa vijijini ambao walibebwa kwa magari kuja kwenye mkutano ambao ulitangazwa sana na REDIO ILASI ya mbozi kwa siku 5. Hali ilikuwa mbaya kwa MWAMPAMBA pale vijana WA MLOWO wakaanza kuimba wakimwambia MWAMPAMBA awarudishie pesa zao walizomchangia wakati akiwa CDM. ulinzi uliimarishwa sana na baada ya MWIGURU kusoma mazingira akahutubia kwa tahadhari akiwataka wananchi wachangie shule za KATA. Baada ya MKUTANO mwampamba na JULIANA wamekimbia kwenda kulala MBEYA MJINI wakiongozana na MWIGURU ameshindwa hata kweanda kuwasalimia wazazi wake kwa HOFU.
souce MIMI MWENYEWE ENEO LA TUKIO.

Ndugu, Mkutanao ulikuwa eneo gani pale Mlowo? Ulikuwa Sokoni? au wapi. Ukiwa unatazama Itaka ni upande gani waliuweka Mkutano? Mimi ninamfahamu mwanachama wa CCM ambaye hata hakuhudhuria mkutano wenyewe aliendelea na mambo yake tu.... Polisi walioulinda mkutano walitoka Vwawa? au walitoka kwenye kile kituo kidogo cha pale. Sema....
 
Awalipe watu fedha zao ,walipigwa,wakaswekwa ndani kwa ajili ya kumtetea tamaa zake na dada yake zimembeuza mjinga anashuhuhudia dada yake juliana akibemendwa na mwigulu, si amesema yuko kwao anakimbia nini sasa
 
Huyu Mwampumba ana roho ngumu, hadi ameshindwa kuwasalimia wazazi wake!
 
BABA yake mzazi amejiunga na CCM RASMI kwn naye alifukuzwa CHADEMA kwa utovu wa nidhamu. Huku wakifanya propaganda wamumsimamisha mtu ambaye si mkazi wa Mbozi na kusema ni KATIBU KATA wa CDM kata ya ITAKA wakati si kwali hata si mkazi wa MBOZI. Katibu kata wa CDM kata ya ITAKA anaitwa MAIKO.
 
Huyu Mwampumba ana roho ngumu, hadi ameshindwa kuwasalimia wazazi wake!

wamechanganyiliwa ukisikia mwenyekiti wao kaambia na vigagula wa msata kwamba hao ndio majembe eti hakuna kuzungumzia matatizo ya wananchi wao ni melody za chadema unaambiwa leo walikuwa na majeshi ya polisi kama wako darfu kila wakiongea wananchi ni vidole juu,aibu mtu anakimbia kwao kapelekwa pale kama kipeperushi cha mwigulu na mwigulu atambeba kweli manake anauhakika anakung,uta juliana mpaka juliana mtindi umeshuka utafikiri kabeba zigo gani sijui
 
Kawadanganye watoto wenzio wavivu wa kushughulisha bongo zao, Mtela na Shonza wamefunika mbaya kabisa, vijana kibao wamerudi CCM...wanasema salaam za Iramba ziwafikie na tr 16 wanafanya kweli
 
Wale Vijana waliofukuzwa CHADEMA na kujiunga na CCM leo wakiwa wameongozana na Naibu katibu Mkuu wa CCM -MWIGURU katika Wilaya ya MBOZI wamefanya mkutano wa hadhara pale MLOWO ambapo ndiyo eneo alotokea MWAMPAMABA. mkutano ulikuwa na watu wa vijijini ambao walibebwa kwa magari kuja kwenye mkutano ambao ulitangazwa sana na REDIO ILASI ya mbozi kwa siku 5. Hali ilikuwa mbaya kwa MWAMPAMBA pale vijana WA MLOWO wakaanza kuimba wakimwambia MWAMPAMBA awarudishie pesa zao walizomchangia wakati akiwa CDM. ulinzi uliimarishwa sana na baada ya MWIGURU kusoma mazingira akahutubia kwa tahadhari akiwataka wananchi wachangie shule za KATA. Baada ya MKUTANO mwampamba na JULIANA wamekimbia kwenda kulala MBEYA MJINI wakiongozana na MWIGURU ameshindwa hata kweanda kuwasalimia wazazi wake kwa HOFU.

souce MIMI MWENYEWE ENEO LA TUKIO.
Jipe moyo na ujifariji huku vijana wakikupa za uso, mtatembea na sumu weeeee lakini hamtawapataaa!!!
 
BABA yake mzazi amejiunga na CCM RASMI kwn naye alifukuzwa CHADEMA kwa utovu wa nidhamu. Huku wakifanya propaganda wamumsimamisha mtu ambaye si mkazi wa Mbozi na kusema ni KATIBU KATA wa CDM kata ya ITAKA wakati si kwali hata si mkazi wa MBOZI. Katibu kata wa CDM kata ya ITAKA anaitwa MAIKO.

Hivi kama kweli CHADEMA mbaya Mama yake Mzazi amabayew Diwani kitu maalum anasubiri nini CHaDEMA ?
 
Wale Vijana waliofukuzwa CHADEMA na kujiunga na CCM leo wakiwa wameongozana na Naibu katibu Mkuu wa CCM -MWIGURU katika Wilaya ya MBOZI wamefanya mkutano wa hadhara pale MLOWO ambapo ndiyo eneo alotokea MWAMPAMABA. mkutano ulikuwa na watu wa vijijini ambao walibebwa kwa magari kuja kwenye mkutano ambao ulitangazwa sana na REDIO ILASI ya mbozi kwa siku 5. Hali ilikuwa mbaya kwa MWAMPAMBA pale vijana WA MLOWO wakaanza kuimba wakimwambia MWAMPAMBA awarudishie pesa zao walizomchangia wakati akiwa CHADEMA. ulinzi uliimarishwa sana na baada ya MWIGURU kusoma mazingira akahutubia kwa tahadhari akiwataka wananchi wachangie shule za KATA. Baada ya MKUTANO mwampamba na JULIANA wamekimbia kwenda kulala MBEYA MJINI wakiongozana na MWIGURU ameshindwa hata kweanda kuwasalimia wazazi wake kwa HOFU.

souce MIMI MWENYEWE ENEO LA TUKIO.

hahaaaaaaa kweli wewe majanga inaonyesha ni namna gani tumewadhibiti na kuwapa unyago wa kisiasa unajifanya umesahau niliwaambia kabla sijahutubia kwamba wale wote waliokuwa wanasema mtandaoni tukiludi mbozi watatupiga waandae mawe yao maana tutawapa unyago wakutosha na nikawaambia mwanakibwetere yeyote anayeona hana moyo wa uvumilivu namshauri aondoke maana tutamchambua kibwetere na chama chake na uongo wao kwa watanzania.
eti tumekimbia watakucheka watu wewe fatilia mikutano yetu yote tuliyofanya nchi nzima kama kuna mahali tulihutubia na kulala hapo sisi tunapiga amsha amsha maana sehemu nyingi zinahitaji kufikiwa na manyakanga wa kisiasa chini ya kiboko yenu jemedari Mwigulu.
Hayo mambo ya kata sijui hata umeyatoa wapi speech nzito sana imeshushwa leo na ndio maana zaidi ya vijana 140 wamerudisha kadi za CHADEMA na kujiunga na CCM.
Eti watu wamesombwa mtaishia kujifariji 2015 CCM tutaimba iyena iyena CCM ni nambari wani mapeeeemaaa vijiji tu vimewashinda kule iIramba nchi mtaiweza kweli?
Angalizo;kipigo kingine kinakuja kwenye kata CCM itashinda kwa kishindo .
pole weeeeeeee
 
Kawadanganye watoto wenzio wavivu wa kushughulisha bongo zao, mtela na shonza wamefunika mbaya kabisa, vijana kibao wamerudi ccm...wanasema salaam za iramba ziwafikie na tr 16 wanafanya kweli

kama CHADEMA mbaya mbona mama yako bado yuko CHADEMA tena diwani wa specil sit ana nidhamu kwa kama fox wa kizungu. Kama mna jeuri mwambie alete jeuri atimuliwe kama dingi yako hajafa njaa.
 
Hivi kama kweli CHADEMA mbaya Mama yake Mzazi amabayew Diwani kitu maalum anasubiri nini CHaDEMA ?
Hahaaaa angalieni akili za viroba hizi mama mzazi wa mwampamba eti ni diwani who told you?mama mzazi wa mwampamba ni mwalimu anaitwa namgalla na leo alikuwepo na familia yake yote akiwemo baba yake wamejiunga na ccm
punguza viroba kijana
 
hahaaaaaaa kweli wewe majanga inaonyesha ni namna gani tumewadhibiti na kuwapa unyago wa kisiasa unajifanya umesahau niliwaambia kabla sijahutubia kwamba wale wote waliokuwa wanasema mtandaoni tukiludi mbozi watatupiga waandae mawe yao maana tutawapa unyago wakutosha na nikawaambia mwanakibwetere yeyote anayeona hana moyo wa uvumilivu namshauri aondoke maana tutamchambua kibwetere na chama chake na uongo wao kwa watanzania.
eti tumekimbia watakucheka watu wewe fatilia mikutano yetu yote tuliyofanya nchi nzima kama kuna mahali tulihutubia na kulala hapo sisi tunapiga amsha amsha maana sehemu nyingi zinahitaji kufikiwa na manyakanga wa kisiasa chini ya kiboko yenu jemedari Mwigulu.
Hayo mambo ya kata sijui hata umeyatoa wapi speech nzito sana imeshushwa leo na ndio maana zaidi ya vijana 140 wamerudisha kadi za chadomo na kujiunga na ccm.
Eti watu wamesombwa mtaishia kujifariji 2015 ccm tutaimba iyena iyena ccm ni nambari wani mapeeeemaaa vijiji tu vimewashinda kule ilamba nchi mtaiweza kweli?
Angalizo;kipigo kingine kinakuja kwenye kata ccm itashinda kwa kishindo .
pole weeeeeeee

Na wewe dada umezidi mipasho.
By the way, naona mkutano wenu ulikuwa na watu wengi, kama walikuja wenyewe hongereni sana, angalau mnafuta machozi ya Mbulu na Arusha.
 
Hahaaaa angalieni akili za viroba hizi mama mzazi wa mwampamba eti ni diwani who told you?mama mzazi wa mwampamba ni mwalimu anaitwa namgalla na leo alikuwepo na familia yake yote akiwemo baba yake wamejiunga na ccm
punguza viroba kijana
we ndio unakula viroba badala ya kujadili uzi wa kupopolewa na mawe unarukia udiwani hivi si viroba hivi kanusha kama kweli leo umelala mbozi au mbeya mjini kuwa makini uliyenaye karibu hapo jasusi si mtu mzuri
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom