Elections 2010 Mteketa mbunge Kilombero

machozi yananitoka wameweza kuiba kiasi hiki? mungu waadhibu hawa watu kwa kichapo kikali sana hata kabla ya kuapishwa kwao.
 
Mkuu haya majina huwa yananichanganya sana, hebu weka majina kamili, mtoto GS amechukua jimbo au fitna?..
 
Mama apigwa chini mteketa atangazwa kuwa mbunge nimeona wajinga wakishangilia na bendera zao so uwezekano mama amechakachuliwa ni live
 
Mkuu haya majina huwa yananichanganya sana, hebu weka majina kamili, mtoto GS amechukua jimbo au fitna?..

ABDUL MTEKETA KASHINDA(CCM) wapogolo na wandamba wamepita hapa kwa chulu wanashangilia wamechoka hata wengine ndala hawana
 
machozi yananitoka wameweza kuiba kiasi hiki? mungu waadhibu hawa watu kwa kichapo kikali sana hata kabla ya kuapishwa kwao.

.......We PTP ....Kumbuka dua la kuku halimpati mwewe.......tuache kumwachia Mungu afanye kazi ambazo ameshadelegate kwetu......! ametupa nguvu, akili, busara.....we need to do something for change sio tu kumlilia Mungu afanye maajabu....asipofanya?
 
umeona hommie...?
 
Ndio CCM ilivyo... kwao uongozi ni mradi wa kulisha matumbo yao na kujilimbikizia mali.

Pole sana dada yangu.
 
.......We PTP ....Kumbuka dua la kuku halimpati mwewe.......tuache kumwachia Mungu afanye kazi ambazo ameshadelegate kwetu......! ametupa nguvu, akili, busara.....we need to do something for change sio tu kumlilia Mungu afanye maajabu....asipofanya?

You are damn right. Tunao utashi wa kujua ukweli na uongo, wema na ubaya, aibu na heshima..we have to do something kuhusu huyu dada na hili jimbo
 
AMESHINDA KWA 40000+ ,MTEMA 30000+:sad:

Kifupi ni kwamba matokeo yamechakachuliwa. Matokeo halisi yalikuwa Abdu Mteketa-CCM Kura 42,000; Regia Mtema-CHADEMA Kura 43,200 CUF na UPDP Kura zao kwa pamoja hazizidi 3,000.

Kuna mambo mengi yaliyojitokeza lakini mwisho wa siku msimamizi wa uchaguzi amemtangaza bwana Mteketa kuwa mshindi kwa kura 43,459, Mtema kura 38,550, CUF 4,469 na UPDP 299.

Sijakubali matokeo na sasa ndio tunafanya utaratibu ili kufungua kesi.
 
Idadi ya wapiga kura walioandikishwa ilikuwa 211276 na idadi halisi ya waliopiga kura 88834 na kura halali zilikuwa 86574 na kura zilizokataliwa ni 2260.

KIKWETE (CCM) 53,386,
RUNGWE HASHIM (NCCR-MAGEUZI) 162,
PETER MZIRAY (APPT-MAENDELEO) 869,
WILBROAD SLAA (CHADEMA) 27,721
Yahmi Dovutwa (UPDP), 0
Ibrahim Lipumba (CUF) 4,200,
Mutamwega Mgwaya(TLP) 117.

Matokeo ya Ubunge

Abdul Mteketa (CCM) 43,459
REGIA MTEMA (CHADEMA) 38550,
Zainabu Himili - 4,469,
Abdu Mnola (UPDP) 299.

Idadi ya walioandikishwa ilikuwa 211276,idadi halisi ya wapiga kura 88942,kura halali ni 86777 na kura zilizokataliwa ni 2165.

Hakukuwa na fujo ya aina yoyote ila REGIA MTEMA wa Chadema amegoma kusaini fomu za matokeo.
 
Kifupi ni kwamba matokeo yamechakachuliwa.Matokeo halisi yalikuwa Abdu Mteketa-CCM Kura 42,000,Regia Mtema-CHADEMA Kura 43,200 CUF na UPDP Kura zao kwa pamoja hazizidi 3000.Kuna mambo mengi yaliyojitokeza lakini mwisho wa siku msimamizi wa uchaguzi amemtangaza bwana Mteketa kuwa mshindi kwa kura 43459,Mtema kura 38,550,CUF 4469 na UPDP 299.Sijakubali matokeo na sasa ndio tunafanya utaratibu ili kufungua kesi.

usikate tamaa, Mungu yuko pamoja nawe
 
Asante sana kwa matokeo haya ingawa hawa jamaa wameyaharibu sana. Inauma sana kama umeshinda na ushindi unaenda kwa mwingine. Kama umeshindwa kwa haki ofcourse hiyo isingekuwa na neno.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom