Mteja wa maziwa fresh anahitajika kuanzia Lt 10-50

mbano

Member
Sep 9, 2011
46
21
Habari zenu wana JF.
Mie naishi Dar Mbezi.ni mfugaji mvuri wa ngombe wa kisasa.
natafuta mteja wa kuumuuzia maziwa fresh kila siku nina uwezo wa kusupply kuanzia Lt 40 kwa siku.
kama utapenda tufanye biashara tafadhali wasiliana na mie kupitia namba hii 0717-706259
 
Back
Top Bottom