Mteja ni mfalme, nataka niletewe hati ofisini kwangu

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Baadhi wataniona kama zuzu au mjinga lakini wahusika kama wana akili ufahamu na ubunifu wataitikia wito huu

Mimi sina muda wa kufika Mkuranga Nahitaji niletewe hati ofisini kwangu ili nianze kulipia kodi au siyo ndugu zangu eneo langu lipo wilaya ya mkuranga
 
Kaichukue bwana tuipeleke benki, tupate mtaji!
 
Back
Top Bottom