hapana ndugu, mzee katoa yaliyo ya moyoni. maamuz ya mwisho yapo baraza kuu. na yeye ni member, so ikifika wakati wa kupiga kura zitto afukuzwe atapiga kura kama wengi wakisema aondoke au la., will decide destiny ya zitto.
Mambo yote yaliyosemwa na viongozi nje ya vikao vya chama yametokea wewe unaishi mbingu gani usijue chadema ni slaa,mbowe,mtei na walipa fadhila wao lisu,mnyika,lema etc