Mtei:Rais Magufuli ana tekeleza sera za chadema

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,829
43,278
Wana jamvi wasalaam
Mhasisi na mmiliki wa chadema na mwenye chadema Mzee Mtei amesema anafurahishwa sana tena na uongozi na mwenendo wa serikali ya Rais Magufuli kwani anafanya kila jambo ambalo chadema wamekuwa wakilipigia kelele kila leo na ndizo sera za chadema.
Amesema aendelee kuchapa kazi kwani watanzania wanaipenda.

Kwenye hili chadema hawatakiwi kupinga maana mwenye chama kasema na ndiye mwenye kauli ya mwisho...
Mtei Kasema

Source :Rai nguvu ya hoja..
 
Wapiga dili hawawezi kumuelewa!!!Maana kuna watu humu ili wafikiri vizuri wanatumia kwanza bangi!!walikuwa addicted na mapato ya aibu!!walitumia kutokuelewa kwa mtanzania!!siasa za kishabiki ziliwanyonya akili!!viroba viliharibu kufikiri kwao!!
 
Ndesapesa Umaarufu wake Chadema umemalizwa na Maburunguru ya Mzee Ngoyai!
 
Kuna mwanasiasa nguli yeye kazi yake ilikuwa kugawa hela kwa bodaboda na vijana Wa vijiweni!!!wakipata hela hizo haramu kazi yao ilikuwa kukimbilia viroba!!akishakunywa kiroba anaendesha pikipiki anaona yuko anapepea kama fastjet!!hawa ndo wamekufa sana japo walikuwa taifa LA kesho!!wamesababisha viwete na familia nyingi kubaki na mzazi mmoja na wengine wamekufa bila uzao duniani!!!hawa ndiyo waliposikia gia imebadilishwa angani wakaanza kuzungusha mikono kwa mithiri ya propelar wakifikiri ndo style ya kumsaidia rubani wasijue rubani mwenyewe kapiga dili, ndege ikayumba angani akalazimika kutua uwanja mwingini Wa imergency bila kufika uwanja Wa taifa!!!
 
Ndio tabia ya wastaafu wote alimua kuanzisha chama kama ukumbusho tu lakini mapenzi yao ni ccm
 
Back
Top Bottom