Mtei aonya fukuza fukuza CHADEMA - Aonya kuachana na Utamaduni huo mpya

huyo mungu wao ni very exceptional. mungu anayeruhusu kupanga na kuratibu mauaji na utekaji wa binadamu wasio na hatia. kwa kifupi lile ni genge la wahuni na saccos yao.


Vipi mkuu zile mil 6 za Sinza umerudishiwa?
 
mzee mtei ameshachelewa. chadema imeshasambaratika kabisa.. chadema wamebaki mataahira tu na misukule ya mbowe na slaa.. chama makini cha ACT kinakua kwa kasi sana. watanzania hasa wa vijijini na vijana wanajiunga kwa kasi sana ACT. hakika ACT ni mkombozi wa tanzania

Acha ulongo wewe! Chama gani cha upinzani katika historia ya vyama vingi kimewahi kuwa mkombozi wa watanzania. Labda kama ni mkombozi wa wadanganyika. Vyama vyote vinavuma then vinakufa na kuwaacha watanzania waliotegemea mabadiriko wakiwa njia panda na wenye kukosa matumaini ya ukombozi wa kweli!
 
Hivi Haya Maccm hayakujifunza Arumeru kwa Sioi? AMA kweli sikio la Kufa halisikii dawa. Maccm subirini mkong'oto mwingine jimbo la Karenga. Lazima mpate kipigo cha mbwa mwizi.
 
Maalim Mohamedi Mtoi
Umekuja na hoja hafifu halafu kiduuchu! Ninaposema misekure nafahamu fika unaelewa nina maana gani; wamhusisha Mungu na ujuha wa kijitakia mwenyewe? Mungu haumbi misekure hiyo kazi inafanywa na viumbe wenye roho dhaifu kama padiri wako.
Maalim umeleta kichekesho jamvini; CCM inapofukuza mtu inafuata taratibu za kichama kwa mujibu wa katiba yake hao wote kina Mansoor walipewa nafasi ya kujitetea haukuwa uamuzi wa mtu au kikundi chenye ajenda ya siri; ndio maana CCM inapoondoka mtu inakuwa imara haitikisiki; wakati fitina za kumuondoa Zitto zimepamba moto mlijinadi jamvini ondoa masalia Chadema kitakuwa imara masikini kumbe yote yale yalikuwa kisa cha juha Kalulu kukata mti mzizi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama

Teh teh teh Bavicha wengi uwa mawazo yao Chadema wakichukuwa nchi maisha yao yatakuwa mazuri mtu kama Mohamedi Mtoi ni mwalimu wa shule za kata pale Tanga Mjini lakini muda wote utamkuta Ufipa, na mwisho wa mwezi anakwenda kuchukuwa mshahara kwenye serikali ya CCM ambao kila siku anakesha JF kuitukana, kama ana uchungu kwa nini asiende kufundisha shule ya Dr.Slaa bure.

Mkuu Ritz
Wallwaah umenipa mpya ya mwaka Mohamedi Mtoi mwalimu wa kata? Basi atakuwa ni mwanadamu asiye na fadhila; huyu bwana ni kinara wa kumsema Mulugo na serikali kwenye masuala ya shule za kata kumbe naye mhusika lahaula!!
 
Last edited by a moderator:
Utasikia wanakuambia wanataratibu zao za kushughulikia mambo ya katika vikao vya ndani. Mapunguani hawa wanauza elimu yao kwa dhamani ndogo.

Mkuu CHAMVIGA
Watu wa pwani tunasema uchungu wa mwana aujuaye mzazi! Mzee Edwin Mtei kaamua kulia na mwanaye; Mbowe kazua kiranga kampa kimada ubunge na mimba juu! Hali nyumbani kwa mwenyekiti sio shwari hata kidogo bint Mtei amedhalilishwa hana raha na dunia mkwe mtetezi mkubwa wa mwenyekiti yupo tayari kuiona Chadema inakatika vipande 2 ili mradi tu mkwewe awe mwenyekiti masikinj leo ndio kazinduka; tulisema awali kuongoza chama kunataka viongozi wenye busara; jahazi limeachiwa wazinifu 2 hakuna akiongazaye chombo wote wapo busy kukata viuno jahazi limegonga mwamba safari ndio imekwisha ndoto za magogoni zinauyaa!

Cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mzee mnafiki kama Edwin Mtei.
Leo hii ndio ana yaona haya baada ya maji kufika shingoni?

Haya sasa mwenye chama kaongea sasa bavicha mkiongozwa na Crashwise mna la kusema?

Hili ni pigo kwa Lema, Dr slaa na Mbowe.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa zamani wa chadema ; mzee mtei na mwanzilishi ameonya uongozi wa sasa wa chadema kwa utamaduni mpya wa fukuza fukuza ya wananchama na viongozi unadhoofisha chama.

Viongozi ni wakati muafaka wa mufanyia maamuzi magumu kauli hiyo.

Chanzo - Magazetini leo.

Mnafiki tu huyo! Wameshawafukuza waliokuwa wakiwahofia sasa analeta porojo.
 
Maccm kwa kutembea na kila herufi ktk kila neno la Mtei kutafuta matumaini..mnatia aibu.Si mara ya kwanza kumnukuu mzee vibaya.
 
Kamanda kwani mwenye nguruwe kasemaje hadi wewe nguruwe useme amenukuliwa vibaya!!
Mtei kwani ana nguruwe...?Nenda mbulu na mbeya nguruwe hadi wanachungwa km mbuzi.Km ndio unawataka..basi usitikise kiuno hovyo hata hapo zenj wapo, na kila mji siku hizi kuna chocho unaweza pata. Kwa upuuzi wako unadhani nguruwe ndio dharau kubwa.hembu kajirekebishe kwanza ndipo uje ongea na binadamu hapa.
 
mzee mtei ameshachelewa. chadema imeshasambaratika kabisa.. chadema wamebaki mataahira tu na misukule ya mbowe na slaa.. chama makini cha ACT kinakua kwa kasi sana. watanzania hasa wa vijijini na vijana wanajiunga kwa kasi sana ACT. hakika ACT ni mkombozi wa tanzania

akili yako inahitaji uangalizi maalumu kwenye kitengo cha mirembe
 
mzee mtei ameshachelewa. chadema imeshasambaratika kabisa.. chadema wamebaki mataahira tu na misukule ya mbowe na slaa.. chama makini cha ACT kinakua kwa kasi sana. watanzania hasa wa vijijini na vijana wanajiunga kwa kasi sana ACT. hakika ACT ni mkombozi wa tanzania

akili yako inahitaji uangalizi kwenye kitengo maalumu mirembe
 
Back
Top Bottom