Sasa mlivyokuwa mnalalamika CCM inawatukana kumbe ni Mwigulu na Lusinde yalikuwa mawazo yao binafsi.
Walisema kuwa CCm chama cha matusi kisa lusinde katukana sasa leo tukisema chadema chama cha dini itakuwaje?
Sasa mlivyokuwa mnalalamika CCM inawatukana kumbe ni Mwigulu na Lusinde yalikuwa mawazo yao binafsi.
inashangaza kwa mtu mwenye upeo kama mtei kuwa na mawazo kama hayo- kinachoshangaza ni kwamba dini za hao watu amegundua kupitia majina- hajui kama dini inaweza kuwa isifanane na jina lako- anyway huu ni ubaguzi wa imani- kwanini afike mbali hivyo au kazeeka apelekwe rest home alelewe asubiri kifo maana hoja sio ya msingi hata kidogo- na hao wanobadilisha hoja na kuanza kuhoji source ya info in short they know kwamba ameteza sasa wanatafuta njiaa ya kufunika and discrediting the source becomes their only ally.
Mzee Mtei Umri wako umekwenda na kwa uhakika inatakiwa uombe ushauri kabla kutoa hoja nzito kama hiyo. Ni kweli ulichosema lakini sii jambo muhimu kulizungumzia. Inabidi utulie usije haribu heshima yako.
Katika hili si hoja hata kidogo kwani -- kikubwa ni uwezo wa kupambanua mambo na uzoefu/elimu ya mambo yanayo fanana na hayo.
USHAURI WA BURE KWA MZEE MTEI NI KUWA ASIJIINGIZEE KWENYE MIJADALA ITAKAYOMLETEA AIBU. ZITTO NAWE UWE NA BUSARA ZA KUJIBIZANA NA WAZEE HATA KAMA UKO SAWA NA UNACHOJARIBU KUKISEMA.
Zitto ni muislamu, lazima atetee kwa nguvu zote. Mzee mtei si mnafiki wala msiri. Tukisema tuweke takwimu hapa kwa watu makini wasomi waliobobea katika nyanja mbalimbali hasa katika fani ya sheria, waislamu bado wako nyuma. Leo hii inakuwaje tume inawaislamu wengi kuliko wakristo?. Kwani huko zanzibar wakristo hawapo?
ni ushahidi mwengine huo kuwa chadema iliasisiwa kwa malengo ya kidini,kama vile Cuf
Sasa mlivyokuwa mnalalamika CCM inawatukana kumbe ni Mwigulu na Lusinde yalikuwa mawazo yao binafsi.
acheni hizo jamani jembe zitto kanena ukweli bwanaaaaaaaa!zitto omba radhi
ni ushahidi mwengine huo kuwa chadema iliasisiwa kwa malengo ya kidini,kama vile Cuf
Hiyo sensa umeifanya wewe na nani na uka-publish wapi?
nimeangalia matokeo ya form 4 na form 6 shule binafsi na serikali. Kisha nimeangalia kati ya seminary za kiislamu na kikristo zipi zinafaulisha. Nikaja vyuo vikuu hapa nchini nimeona idadi ya waislamu ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao wakristo.