Mtego wa panya: Mwenyekiti wa TCD, Kinana awataka viongozi wa vyama vya siasa wawe wanakutana mara kwa mara. Je, Mbowe atanaswa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,566
Ikumbukwe kwa muda sasa Katibu Mkuu wa CHADEMA, mh J J Mnyika na chama chake kwa ujumla wamekuwa hawahudhurii mikutano ya Taasisi ya Demokrasia TCD.

Mwenyekiti mpya wa TCD, komredi Kinana amesema vyama vya siasa viko kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, hivyo amewataka viongozi wa vyama vyote wawe wanakutana mara kwa mara kujadili hali ya kisiasa nchini.

Je, Freeman Mbowe wa CHADEMA atahudhuria?

Maendeleo hayana vyama.
 
Wala siyo mtego kwa sababu Mbowe atataka wajadili mustakabali wa Taifa kuhusu katiba mpya na siyo kupitisha na kubariki hoja za Ikulu na CCM! Vile vile ajenda zitakuwa wazi!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom