“Mtego wa madeni”, njama ya nchi za Magharibi kuzuia maendeleo ya Afrika

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,010
1,033
VCG111338665022 (1).jpg

Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amekanusha tena “dai la mtego wa madeni” kuhusu ushirikiano kati ya China na Afrika alipokuwa ziarani nchini Kenya hivi majuzi. Alisisitiza kuwa China kamwe haijawahi kuzilazimishi nchi nyingine kufanya shughuli zisizotaka, na dai hilo ni kama “mtego wa maneno” uliotengenezwa na watu wasiotaka kuona Afrika inapata maendeleo.

Kwa muda mrefu, baadhi ya wanasiasa wa nchi za magharibi na taasisi za utafiti zenye upendeleo zinadai kuwa China inaziwekea nchi za Afrika “mtego” kwa kuzipatia mikopo, na wakati nchi hizo zitakaposhindwa kulipa madeni, China itanyang’anya mali za umma za nchi hizo kama vile uwanja wa ndege na bandari. Ni wazi kuwa dai hilo halina msingi. China haijawahi kumiliki mradi au mali yoyote ya nchi za Afrika ziliposhindwa kulipa madeni, lakini siku zote inaunga mkono na itaendelea kusaidia nchi za Afrika kuinua uwezo wao wa kujiendeleza.

Akitolea mfano wa Kenya, Bw. Wang Yi amesema miradi ya ushirikiano kati ya nchi mbili yote imepitia tafiti kabambe za kisayansi, na imenufaisha maisha ya watu wa Kenya na kuchangia nguvu ya maendeleo ya Kenya. Aidha, asilimia 80 ya madeni ya Kenya yalitolewa na mashirika ya kifedha ya pande nyingi, na sehemu kubwa ya madeni yaliyodaiwa na China ni mikopo nafuu.

Hali halisi ni kuwa uwekezaji wa China umekuwa chanzo muhimu cha fedha kwa nchi za Afrika, na kuzisaidia kutimiza malengo ya maendeleo ya kiuchumi. Kwa mujibu wa Benki ya Dunia, sekta ya miundombinu barani Afrika inahitaji dola za kimarekani bilioni 130-170 kila mwaka, na uwekezaji wa China umechangia sehemu yao. Hadi mwishoni mwa mwaka 2020, kulikuwa na kampuni zaidi ya 3500 za China barani Afrika, na uwekezaji wa moja kwa moja ulifikia dola za kimarekani bilioni 43 na kusaidia nchi za Afrika kujenga viwanda, kutengeneza ajira na kuboresha maisha ya watu.

Kutokana na janga la COVID-19, baadhi ya nchi zimekumbwa na taabu ya muda. China imejitahidi kutekeleza pendekezo la kundi la G20 la kuahirisha ulipaji wa madeni kwa nchi maskini zaidi duniani, na miongoni mwa nchi za kundi hilo, China imekubali kuahirishwa madeni kwa wingi zaidi, na kusaini makubaliano na nchi 19 za Afrika kuhusu kuahirishwa ulipaji madeni. Vilevile, China imesamehe mikopo isiyo na riba ya nchi 15 za Afrika iliyopangwa kulipwa hadi mwishoni mwa mwaka 2020. Kwenye mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika uliofanyika mwezi Novemba mwaka jana, rais Xi Jinping wa China alitangaza kuwa China pia itasamehe mikopo isiyo na riba iliyopangwa kulipwa hadi mwishoni mwa mwaka 2021 kwa nchi maskini zaidi za Afrika.

Ukweli una nguvu kuliko maneno. Marekani na nchi za magharibi zimepigia kelele "dai la mtego wa madeni" na kutengeneza simulizi ya "umiliki wa miundombinu", ikionyesha lengo lao la kuzilazimisha kuchagua upande kati ya China na Marekani bila kujali maendeleo ya nchi za Afrika. Akizungumzia hilo, Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria hivi karibuni alisema Nigeria inatafuta mkopo kulingana na mahitaji yake tu, na kama hakuna reli kati ya Lagos na Ibadan iliyojengwa na China, watu waishio miji hiyo miwili wangekuwa wanatembeleana kwa miguu tu . Kadhalika, wakati alipohojiwa na televisheni ya CNN akizungumzia mikopo ya China na "mzozo wa madeni" wa Kenya, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya alisema nchi yake ina mpango mzuri wa madeni, na mbali na China, Kenya pia imepata mikopo kutoka Japan, Marekani na mataifa mengine mengi ili kuisaidia kufikia malengo yake ya maendeleo. Naye rais wa Rwanda Paul Kagame pia alisema Afrika inakabiliwa na pengo kubwa la fedha na inahitaji haraka fedha za kigeni, lakini kinachoshangaza ni kuwa, walioikosoa China zaidi ni wale "wanaosaidia kidogo sana"Afrika.

Kama alivyosema waziri Wang Yi, kwamba kama kweli kuna "mtego" wowote unaoikabili Afrika, basi ni "mtego wa umaskini" na "mtego wa kurudi nyuma". Ili kutatua matatizo yanayoikabili Afrika, maendeleo ni jambo la msingi. China ikiwa ni rafiki mwaminifu na mshirika wa dhati wa Afrika na watu wa Afrika, inafanya kila juhudi kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi barani Afrika kupitia mipango kama vile utaratibu wa "Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika" na "Ukanda Mmoja na Njia Moja", na kuzisaidia nchi za Afrika kutatua matatizo yao ya madeni.
 
Huu ushirika China ndie mnufaika zaidi
ntajie ushirika mmoja ambao US au Western wanakua sio wanufaika zaidi halaf ninyi mnakua wanufaika zaidi
mara nyingi(kama sio mara zote) kweye ushirika kama hapo lazima mmoja atanufaika zaidi kuliko mwengine
 
Anaemiliki mfumo wa maendeleo ndie anaenufaika zaidi
 
ntajie ushirika mmoja ambao US au Western wanakua sio wanufaika zaidi halaf ninyi mnakua wanufaika zaidi
mara nyingi(kama sio mara zote) kweye ushirika kama hapo lazima mmoja atanufaika zaidi kuliko mwengine
Mala zote wao ndio wanufaika zaidi lakini bora mzungu kuliko mchina!!kwani hata mambo ya kuchukua baadhi ya mali za nchi, kutokana na kushindwa kulipa madeni yameanza miaka hii , na Uchina, mbona huko nyuma kabla china hajawa na nguvu ya kiuchumi hatukuwahi kuyasikia haya, wakati USA, na western walianza kutupa misaada miaka na miaka?!!
 
View attachment 2079113

Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amekanusha tena “dai la mtego wa madeni” kuhusu ushirikiano kati ya China na Afrika alipokuwa ziarani nchini Kenya hivi majuzi. Alisisitiza kuwa China kamwe haijawahi kuzilazimishi nchi nyingine kufanya shughuli zisizotaka, na dai hilo ni kama “mtego wa maneno” uliotengenezwa na watu wasiotaka kuona Afrika inapata maendeleo.

Kwa muda mrefu, baadhi ya wanasiasa wa nchi za magharibi na taasisi za utafiti zenye upendeleo zinadai kuwa China inaziwekea nchi za Afrika “mtego” kwa kuzipatia mikopo, na wakati nchi hizo zitakaposhindwa kulipa madeni, China itanyang’anya mali za umma za nchi hizo kama vile uwanja wa ndege na bandari. Ni wazi kuwa dai hilo halina msingi. China haijawahi kumiliki mradi au mali yoyote ya nchi za Afrika ziliposhindwa kulipa madeni, lakini siku zote inaunga mkono na itaendelea kusaidia nchi za Afrika kuinua uwezo wao wa kujiendeleza.

Akitolea mfano wa Kenya, Bw. Wang Yi amesema miradi ya ushirikiano kati ya nchi mbili yote imepitia tafiti kabambe za kisayansi, na imenufaisha maisha ya watu wa Kenya na kuchangia nguvu ya maendeleo ya Kenya. Aidha, asilimia 80 ya madeni ya Kenya yalitolewa na mashirika ya kifedha ya pande nyingi, na sehemu kubwa ya madeni yaliyodaiwa na China ni mikopo nafuu.

Hali halisi ni kuwa uwekezaji wa China umekuwa chanzo muhimu cha fedha kwa nchi za Afrika, na kuzisaidia kutimiza malengo ya maendeleo ya kiuchumi. Kwa mujibu wa Benki ya Dunia, sekta ya miundombinu barani Afrika inahitaji dola za kimarekani bilioni 130-170 kila mwaka, na uwekezaji wa China umechangia sehemu yao. Hadi mwishoni mwa mwaka 2020, kulikuwa na kampuni zaidi ya 3500 za China barani Afrika, na uwekezaji wa moja kwa moja ulifikia dola za kimarekani bilioni 43 na kusaidia nchi za Afrika kujenga viwanda, kutengeneza ajira na kuboresha maisha ya watu.

Kutokana na janga la COVID-19, baadhi ya nchi zimekumbwa na taabu ya muda. China imejitahidi kutekeleza pendekezo la kundi la G20 la kuahirisha ulipaji wa madeni kwa nchi maskini zaidi duniani, na miongoni mwa nchi za kundi hilo, China imekubali kuahirishwa madeni kwa wingi zaidi, na kusaini makubaliano na nchi 19 za Afrika kuhusu kuahirishwa ulipaji madeni. Vilevile, China imesamehe mikopo isiyo na riba ya nchi 15 za Afrika iliyopangwa kulipwa hadi mwishoni mwa mwaka 2020. Kwenye mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika uliofanyika mwezi Novemba mwaka jana, rais Xi Jinping wa China alitangaza kuwa China pia itasamehe mikopo isiyo na riba iliyopangwa kulipwa hadi mwishoni mwa mwaka 2021 kwa nchi maskini zaidi za Afrika.

Ukweli una nguvu kuliko maneno. Marekani na nchi za magharibi zimepigia kelele "dai la mtego wa madeni" na kutengeneza simulizi ya "umiliki wa miundombinu", ikionyesha lengo lao la kuzilazimisha kuchagua upande kati ya China na Marekani bila kujali maendeleo ya nchi za Afrika. Akizungumzia hilo, Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria hivi karibuni alisema Nigeria inatafuta mkopo kulingana na mahitaji yake tu, na kama hakuna reli kati ya Lagos na Ibadan iliyojengwa na China, watu waishio miji hiyo miwili wangekuwa wanatembeleana kwa miguu tu . Kadhalika, wakati alipohojiwa na televisheni ya CNN akizungumzia mikopo ya China na "mzozo wa madeni" wa Kenya, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya alisema nchi yake ina mpango mzuri wa madeni, na mbali na China, Kenya pia imepata mikopo kutoka Japan, Marekani na mataifa mengine mengi ili kuisaidia kufikia malengo yake ya maendeleo. Naye rais wa Rwanda Paul Kagame pia alisema Afrika inakabiliwa na pengo kubwa la fedha na inahitaji haraka fedha za kigeni, lakini kinachoshangaza ni kuwa, walioikosoa China zaidi ni wale "wanaosaidia kidogo sana"Afrika.

Kama alivyosema waziri Wang Yi, kwamba kama kweli kuna "mtego" wowote unaoikabili Afrika, basi ni "mtego wa umaskini" na "mtego wa kurudi nyuma". Ili kutatua matatizo yanayoikabili Afrika, maendeleo ni jambo la msingi. China ikiwa ni rafiki mwaminifu na mshirika wa dhati wa Afrika na watu wa Afrika, inafanya kila juhudi kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi barani Afrika kupitia mipango kama vile utaratibu wa "Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika" na "Ukanda Mmoja na Njia Moja", na kuzisaidia nchi za Afrika kutatua matatizo yao ya madeni.
Mnawaandama sana wachina aisee. Duh

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hao mabwana wanatwangana wenyewe na kusambaziana propaganda hiyo yote ni kutaka kuiaminisha dunia na jamii za kiafrika kuwa wana nia njema.

Nyuma ya pazia hao wote ni mashetan ambao wana timiza agenda zao zenye madhara ya muda mfupi na mrefu ambapo wao watafaidika zaid uku afrika ikizid kuwa masikin na jalala la kila aina ya bidhaa feki,magonjwa, vita, na njaa..

Afrika ni tajiri, hakuna taifa nje ya afrika lisilo ihitaji afrika,

Nchi kama Congo tu ilitosha kuendesha maisha ya Marekani yote, ulaya na Asia bila kuyajumuisha mataifa mengine ya afrika.

just imagine nchi hiyo ya Congo ndyo imekuwa inahitaji misaada kwa vinchi ambavyo hata havikustahili kuipazia sauti nchi hiyo, yaan meza imepinduliwa muafrika kawa masikini ombaomba kwa mataifa yasiyo na resources zozote za maana zaid ya kutuzidi ujanja kutukamua na kututawala kijanja.

Kuna ushenz mwingi sana unafanywa na haya mataifa, basi tu tunashindwa kupaza sauti kwakuwa hata mitandao tunatumia yakwao, hivyo tukiwachallenge wanaishia kutublock account na kuzuia maudhui ya maana yasiwafikie walengwa.

1643298511850.jpg
 
hivi huyo Wang Yi ndio aliemtembelea màgufool kitovuni Chato alipoondoka tu vifo vyenye utata vikaanza kuwakuta masera wake mwisho tarehe 7-march màgufool akakoma kuoneshwa hadharani mpaka pale alipooneshwa akiwa ndani ya jeneza jipya
 
Back
Top Bottom