Mtego wa Kufikiri

Khalidoun

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,833
4,458
Trap of Thinking.jpg
 
Fence/uzio utakuwepo, wangeoverlap tu upande mwingine kutokana nz kusukumana...
 
Kondoo wana tabia ya kuigana katika matendo, kwa mfano kondoo wa kwanza akipita sehemu flani akaruka wanaofuatia pia wataruka hata kama hakuna ulazima wa kuruka, simply they don't reason(think).
Nadhani mantiki ya mleta picha iko katika suala la uwezo wa kufikiri hasa watanzania
 
Kondoo kama 'nyumbu'.....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom