Mtego huu ulimnasa Jakaya, Hayati Magufuli aliukwepa. Rais Samia soon ananaswa wajanja jiandaeni kama sio leo ni kesho ananaswa

HILI TAIFA LITABADILISHWA NA VIJANA WAZALENDO SIO HAWA WAZEE
Kwamba hao wazee hawajawahi kuwa Vijana ? Au huo Uongozi waliupata Uzeeni ?

Tena vijana ndio Balaa wamekulia kwenye Utamaduni wa Upigaji (yaani Wizi / Ufisadi ndio Ujanja) Uzalendo umebaki kuwa nadharia tu....
 
Uzi huu ni maalumu kuonesha Marais wetu walivyowai kunasa kwenye mtego wa kufuja fedha za umma kwa kuutangazia umma yakuwa wanawasaidia makundi fulani mwishowe pesa hizo uishia kupigwa na wajanja.(WAHUNi WAHUNI WAHUNI).

Kichwa Cha habari kimewataja Marais watatu lakini kwa kumbukizi pia hata Hayati Benjamin Mkapa aliwai pigwa pesa alizopewa kama msaada zileeeee! za stimulus Package(kwa maana pesa za kuamsha uchumi baada ya tukio la kudodonka kwa uchumi wa Dunia enzi hizo, Tanzania Kuna pahala hizi pesa zilitakiwa zipelekwe Cha hajabu wajanja waliunda makampuni hewa na kupiga pesa hizi, kama mtakumbuka ndugu wanajamvi Kuna siku kwenye utawala wa mwendazake niliwai pandisha Uzi ulisomeka hivi;

''Mh Rais mbona Kuna faili Lina langi ya njano hapo mezani kwako unaliluka?'' baadae baada ya kusoma Uzi ule alipo pata nafasi Mh Rais Magufuli siku moja akiwa kwenye matukio Fulani Fulani alisikika akijibu ya kuwa yeye hafufui makubuli!(sisi tulio kuwa na uwezo wa kumsemea paspo kumvua nguo tukioofia kubinywa tuliweza mwabia kwa lugha iliyochutama" na tulitambua hata allivyojibu tulijua nae anatujibu sisi maana alikuwa bingwa wa kusoma nyuzi zetu.)

(Mwenyezi Mungu amweke anakoona anafaa kukaa,Mimi swezi mpangia Mungu wangu eti amweke mahali pema Peponi wakati anastaili kuwekwa motoni Sasa Mungu nampangiaje kwa mfano?Mimi naanzaje kumpangia Mungu nisiye muona?

Rais wa awamu ya pili Alie ingia choo Cha kike peupe ni Jakaya Mrisho kikwete, huyu yeye alirenga kuwasaidia washikaji wake,(genge la wahuni walio kuwa tayari kununua madaraka yakuwa wabunge na mawaziri Kikwete aliruka mtego wa kuwapa pesa za umma kama njugu aliona sehemu pekee ambayo anaweza ingiza pesa alafu watu hao wakazipata wakazitumia kununua madaraka ni kwenye Vyama vya Akiba na Mikopo, yaani Saccos Kikwete alihamasisha vikundi vya watoto wa mjini yaani wahuni wasajili saccos za kisiasa na atakuwa anatumbukiza mabilioni ya fedha halimaarufu mabilioni zikitokea CRDB(kama anavyotaka kuingiza Rais Samia?

Ya Jakaya hizi ni fedha za misaada zilizotoka nje kusaidia wananchi wa Hali ya chini hizi zillishia kwenye mikono ya wahuni walio nunua madaraka kupitia masacos hayo, kama haitoshi Kikwete wakati anatoka madarakani ikatungwa sheria iliyompa Madaraka Mrajisi mkuu wa vyama vya ushirika kufuta vyama vya ushirika wa Akiba na Mikopo ambavyo vinaonekana sua sua, Sheri hii mrajisi mkuu Taifa mwaka jana kama sio mwaka juzi alihakikisha anafuta masaccos yote yaliyosajiliwa kwenye utawala wa kikwete na yote yaliyokuwa na mabilioni ya hela yote aliyafuta, Sasa hivi hayapo,tunao jua tulipo hoji majibu yaliyokuja ni kuepuka kombe mwanahalamu apiite, maana Tetesi zilianza kuvuma kuwa mwendazake kwenye awamu ya pili alikuwa anaenda kuhakikisha fedha hizo zinarudishwa kwa Ili unaambiwa genge lire lilijipanga vilivyo na likashinda kabla hata ya kufa kwake vyama vilifutwa.(mabilioni yalitembezwa Ili vifutwe kupoteza ushahidi?

Magufuli manusura anaswe na genge Ili ililumpige Milioni 50,000,000/= za Kila Kijiji

Mtego huu mpaka anaingia kabulini

Unaambiwa moja ya changamoto ilikuwa ni yeye kufikilia jinsi ya kuingiza fedha hizi ziende kwa walengwa na sio kwa genge lire la jakaya Yani aliumiza kichwa mwisho wa yote akaona Bora aziache kwanza na hasingeziingiza kamwe Ili kupunguza kelele za kumuhoji aliona Bora aue upinzani kabisa.(maana ccm hakuna wa kumuuliza lilikuwa KOMANDO LIRE LISUKUMA vidume kibao alivikata ngebe usione Sasa hivi watu kama mwiguru wanaropoka enzi hizo hata angesema wote uchi wasingejitokeza)

Ila pahala alipo pigiwa na genge la wahuni waliopo serikali tu kumbuka pesa za Ben ziliipgwa na genge la watumishi kwA collabo na watoto wa mjini wajanja yaani. Za kikwete zilizopigwa na watoto wa mjini wengi kuliko watumishi, kwa magu amepigwa kwnye pesa za halimashauri Yani uko tunasema pesa zimepigwa NDORE nae pia alipgwa hivyo.

Samia anajua kabisa kuwa pesa za halimashauri hazirudi kwa sbabu ya siasa na watumishi kuunda vikundi hewa ile ni miladi ya wakurugenzi wakuu wa wilaya na Maafisa waendeleo ya jamii kurudishwa ni ngumu zimejaa na zinanuka rushwa. Na uccm na wanaozila wengi wao ni makada wa chama chetu pendwa

Wanajipanga wamnase kwa kujitengenezea njia mwenyewe.

Kikwete na ujanja wake,hakuwai ingiza pesa za umma moja kwa moja kwenye masacos yeye alizipitishia Benki iliyojitanabaisha kuwa ya ushirika yanii CRDB.

Zote zilipitia CRDB kwenda kwenye saccos kibao,na zikapigwa nenda Morogoro mwanza na Kilimanjaro ni aibu.

Jana nimesikia Mh Raisi anawambia wanawake wenzake kuwa ameanza kuandaa pesa zitakazoingizwa kwenye mabenki ya crdb na NMB kuwa kama mtaji kwa akina mama,ila aliwambia zitakuwa za mkopo na sio ruzuku, kumbe anajua yakuwa pesa zinazotolewa na serikali kwenda kwa wanawake, kupitia halimashauri Kuna kauli huko kuwa sio mikopo ila zinaitwa pesa za ccm?nenda wilaya ya muleba mkoani kagera hizi fedha huitwa fedha za ccm.

Sasa anasema atarudia kosa kuingizia feda kwenye mabenki hayo kuwapelekea wanawake, mitaji je za halimashauri hazitoshi?kama hazitoshi ni kwa nn tusiongeze asilimia?

Je, ni kweli CRDB na NMB zinaenda kuingiziwa fedha hizo wazitoe paspo riba kweli?hizi ni benki zinazotakiwa kuingiziwa fedha zisizo na riba ?watakao uska kuzikopesha watalipwa na nani?kalatasi za mikataba zitatolewa Bure na serikali?watakao zifatilia kuzidai watazidai Bure?hakuna pesa ya Bure Duniani bhana mwisho wa hii program najua ni kichaka Cha kutaka kuwatengenezea mazingira KIKUNDI kidgo Cha wapigaji kama ilivyofanyika huko kote niliko kutaja.

Naisi huu tusiuute mtego maana hata nyinyi watawala yawezekana mwanufaika nao.

Mungu ibariki Tanzania.
Mkuu hapo umelalama badala ya kushauri nini kifanyike ili pesa zifanye kilichokusudiwa au zikawafikie walengwa!
Siungi mkono kabisa approach za Mwendazake kubana pesa huku wananchi wanateseka alafu hapohapo tunajitapa kuwa ni donor counry!
 
Ndugu umenilaumu Bure kweli kwa Akili zako timamu hujaona point hata moja?haikuwa kazi yangu kushauri Mimi kazi yangu ni kuonesha kwamba pale Pana shimo dhen wewe uamue uzame kwenye shimo au la? Kwa kifupi nimeisha pata mrejesho muhusika hayupo tayari kuingia kwenye shimo.

Hivi wajua kikwete Uzi huu upo kwenye kitabu chake anachokiandika?wajua Marais wetu wanaandika vitabu vya kujisahihisha baada ya kutoka madarakani?niombe waombe radhi.
 
Ndugu umenilaumu Bure kweli kwa Akili zako timamu hujaona point hata moja?haikuwa kazi yangu kushauri Mimi kazi yangu ni kuonesha kwamba pale Pana shimo dhen wewe uamue uzame kwenye shimo au la? Kwa kifupi nimeisha pata mrejesho muhusika hayupo tayari kuingia kwenye shimo.

Hivi wajua kikwete Uzi huu upo kwenye kitabu chake anachokiandika?wajua Marais wetu wanaandika vitabu vya kujisahihisha baada ya kutoka madarakani?niombe waombe radhi.
Ulicho andika kunakitu unajua ila baadhi ya wachangiaji niwatu wakusifia ili washibe ndio maana wanashindwa kuhoji
 
Mwenyezi Mungu amweke anakoona anafaa kukaa,Mimi swezi mpangia Mungu wangu eti amweke mahali pema Peponi wakati anastaili kuwekwa motoni Sasa Mungu nampangiaje kwa mfano?Mimi naanzaje kumpangia Mungu nisiye muona?
 
Niwie radhi mkuu Asante kwa kunikosoa with vivid information nisamehe Sanaa ulichosema ndio ukweli mkuu ila hizo pesa zilipigwa mbaya sana na faili la walio zipiga lipo hapo ukichungulia haliko mbali Nina imani Raisi wa kugusa faili lire hajazaliwa kama yule msukuma alilikwepa mara kadhaaa, kiukweli ni zitto sana faili lire ila kumbe Kuna mlio na taarifa za makampuni hayo SI uzitaje tu hapa yawezekana Kuna super company currently kumbe ni pesa zetu ambazo tulipewa zisaidie nchi ila zimechezewa mbaya, wadau wanasema hata makampuni mengi ya mafuta tuliyonayo currently yameenda kwa watoto wa vigogo Sasa ila one Iko siku kitaeleweka labda faili liibwe Iko siku Mimi binafis ntaingia pale na kulibeba na kumpiga nalo mtawala yoyote ila kuwakomesha
Kama utakosa mpango wa kuliiba nione nikupe njia
 
Niwie radhi mkuu Asante kwa kunikosoa with vivid information nisamehe Sanaa ulichosema ndio ukweli mkuu ila hizo pesa zilipigwa mbaya sana na faili la walio zipiga lipo hapo ukichungulia haliko mbali Nina imani Raisi wa kugusa faili lire hajazaliwa kama yule msukuma alilikwepa mara kadhaaa, kiukweli ni zitto sana faili lire ila kumbe Kuna mlio na taarifa za makampuni hayo si uzitaje tu hapa yawezekana Kuna super company currently kumbe ni pesa zetu ambazo tulipewa zisaidie nchi ila zimechezewa mbaya, wadau wanasema hata makampuni mengi ya mafuta tuliyonayo currently yameenda kwa watoto wa vigogo Sasa ila one Iko siku kitaeleweka labda faili liibwe Iko siku Mimi binafis ntaingia pale na kulibeba na kumpiga nalo mtawala yoyote ila kuwakomesha.
Usifanye hivo
 
Back
Top Bottom