Mtego aliotegewa Abdul Nondo na "watekaji" wake,hauna tofauti na ule wa Odwang Odwaa mwanafunzi Mganda UDSM

ahhaahaha odwaaa bhana alikua na akili za aina yake aisee ule ujasiri sijui alikua anatoa wapi yani anasimaa kule HALL 2 Halaf et odwaaa!!
 
Kila mwenye akili atagundua kuwa kauli za mapema za Mwigulu, Makonda na Mambosasa zimeonyesha kuwa mchezo huu umechezwa na wao wenyewe kwa makusudi waliyopanga.
Serikali ya ajabu sana hii, mbona utekaji mwingine kama wa kina Roma hatukusikia kauli zao za aina hii lakini ya huyu hata uchunguzi bado waziri kesha toa tamko hadharani?
 
Aisee naomba nipate matukio mengine ya huyu ODWAAAA!! hahahahah sim jui ila nime furahi kusikia historia yake... UDSM walikua na ujasiri.
 
Tatizo lenu hukumu kwa Nondo, Mmeshaitoa kabla ,anzia kwa Mwigulu,Makonda mpaka Mambosasa,

Katika mbinu za kijasusi ,tayari inaonekana serikali ina mkono wake pale.
''mbnu za kijasusi'' mkuu umeongea neno lzito sana ambalo halihusiani na utoto wa uyo dogo..
 
Mkuu unaongelea yule jamaa Black hakika alitikisa sana, Nakumbuka kuna siku walivamia lecture ya watu wa Master's darasani wakidhani sisi ni undergraduate wasalti, Kilichosaidia masomo yetu yalianzia code 600 najua wa udsm mnaelewa wakatuacha tuendelee
Hahahaha mkuu mngeingia king
 
Huyu jamaa nimebahatika kusoma nae shule moja mm nikiwa form 2 yy alikua form 5 nimeishi nae miaka 2.
Ilikua shule mojo iko ENTEBE katika kijiji kimoja kinaitwa GARUGA VILLAGE. Ni mtu mwenye akili bwana ODWANG darasani.
Kisa mpaka akaja kusoma tanzania . Alipata alama za ju kabisa alifika katika top 5 ya taifa ya UG(UNEB)wakati ule.
Selikari ya Mzee KAGUTA ilikataa kumpatia mkopo kwa 100% na pamoja na kijiji chake kuchanga pesa za kumsomesha. Selikari ya Mzee akavyagiza vyuo vyote wakati ule kukataa kumpokea bwana odwang.kumbe nyuma ya pazia ikaja kufahamika kua ni mwanahalakati na mpinzani wa serikali ya mzee kaguta na chama tawala chake.
Changamoto kubwa ya kabila lao ni kabila dogo n lililo tengwa na serikali kwa wakati ule.
Kichekesho alicho wahi kuniambia
WW MTANZANIA USIPENDE WANAWAKE KUFANYA NGONO SANA UTASHINDWA KUKOMBOA JAMII YAKO. nikamuliza wakati ule yy yuko senior 5 je ww ujawahi kufanya ngono akajibu. BADO
Kuna picha niko nazo hapa za wakati ule.nashindwa weka kwakua tuko n watu wengine ambao c vyema kuwaanika hapa.

Kale msaja gwa kabaka
Tugende tokolle.
 
Ninahisi alikuwa Kabila la Obote ni watu wa Northern Uganda
 
Swali tatanishi "wakati anaokotwa ilikua ni maeneo gani, kwenye mkusanyiko au msituni. Ikiwa ni msituni, msamaria alifata nini na ikiwa ni kwenye mkusanyiko, hakukuwa na watu wengine waliomuona??? (Msituni panaweza pia kuchukuliwa kama eneo la mashambani au mbali na makazi ya watu)
 
Back
Top Bottom