sbikore
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 535
- 191
Ni muda mrefu sana takribani miaka 15 sasa iliasadikika kwamba:
CHADEMA kabla ya kuitwa ukawa walikuwa wakipambana sana kulikwamua taifa kutoka kwenye lindi la mafisasadi,walitumia kila namna walioonainafaa alimradi tu wafikishe ujumbe kwa wananchi hasa wanyonge ili wawaunge mkono katika vita hii waliyoiita wao ni ngumu.
Wananchi nao bila vipimo sahh,kwa sababu tu ya kubanwa na maisha waliwakubalia kuungana nao,nia na maksudi ikiwa na mategemeo makubwa ya kujikwamua katika haki ya kiuchumi.
Sikatai kwamba hawakuwapo/hawapo mafisadi hao ndani ya hii nchi...hapana!wapo na ndio maana hata mh.rais tangu ametawazwa anapambana na hii kadhia ya utumbuaji majipu bila ukomo ikiwa ni ishara ya kulirejesha taifa katika misingi ya haki na usawa.kwa hili sote tumpongeze na tumwombee kwa mungu maana yy pekee ndiye anayeweza kuturudisha tulipopahitaji.
Sasa kwa hawa watani zetu,pamoja na kutoka kwa gia tofautitofauti na kwa nyakati tofauti pia walipambana na kama c kwa kuwasingizia baadhi ya watu,basi mwaka 2008 walikuja na orodha ya majina 12 waliyoiita wao kama""The list of shame""
Hatua hii iliwapa umaarufu na wananchi wengi wakaendelea kuwaamin.
Walitoka pia na ziara ya nchi nzima wakiita""Opperassion Sangara""nayo pia ikawapa ujiko mkubwa.
Hihizi harakati zao zilipelekea pia kumng'oa nafasi ya uwaziri mkuu mh.El.
Yoote haya na mengine mengi vikawapa uwezo mkubwa wa kujinasibu kwa wananchi na kuonekana wa maana kweli.
VITUKO VIKAANZA HAPA.Tokana na harakati za muda mrefu za kukijenga chama chao kwa wakati huo alitumika sana ndugu Zitto Kabwe kukijengea heshima chama,lakini cha ajabu kwa maslahi tu mapana ya madraka bwana huyu litimuliwa mara moja na kupokonywa uanachama wake pale ilipooneka anazisaka nafasi za juu za wakubwa.
Kama hiyo haikutosha...kwenye uchaguzi wa mkuu wa mwaka jana aliowagaragaza ngosha,walimtia figisufigisu za kutosha aliyekuwa nguli wa chama ndugu Wilbroad Petter Slaa kwa kuhakikisha hajagombea nafasi ya urais kama ilivokuwa agano lao.Hatua hiyo ilipepelekea kujiengua akiambatana na kutolewa siri kubwa za kashfa kubwa na nyingi kutoka kwa wandani wa chama,na mpaka leo hii hatujui aliko.
Sambamba na hilo pia kwenye list ileile waliyotutajia ya wanaohujumu rasilimali za wanyonge,wakamchukua mmoja wao akaipeperusha bendera ktk nafasi ya urais.Yale masebene yao yaliyozoeleka ya ""Tuwamwage mafisadi""zikabadilika ghafla na kuwa""Anameremeta""(.....).
Kituko ni baada ya uchaguzi:waliojinasibu siku zote kwamba ni watetezi wa wanyonge sasa wamegeuka kuwa wapinga haki za wanyonge.
Walijinasibu kupambana na wadhalimu na wala rushwa,sasa wamegeuka kuwa wakumbatia maovu.
Tumeshuhudi harakati za rais kila siku za kutumbua majipu,zikiambatana na miradi ya maendeleo kwa wananchi,lakini wao kila hatua inazozichukua wao wanakosoa.
-Elimu bure walisema haiwezekani-Imewezekana.
-M50 kila kijiji walikosoa-saivi wanaishia aibu
-Misaada ya marekani walifurahi kufungwa-Juzi tu wameshuhudia.
-Harakati za utmbuaji majipu zinaendele-wao wamegeuka haki za binadamu.
FAINALLY:Wabunge zaidi ya saba sasa wako nje ya vikao vya bunge kwa adhabu kwa kuvunja kanuni za kibunge.Sii wageni wa kanunu wamezitunga wenyewe lakini bado hawaziheshimu,wanazivunja maksudi na matokeo yake ni hayo sasa wamegeuuka kuwa makocha wachezeshaji.
Wanaona haitoshi wanakuja na stail ya mikutano nchi nzima kituhadaa tu wananchi.
Lakini pia hiyo tu haitoshi,wapo wabunge akiwemo mbunge wa serengeti amekuwa suspended kutochangia chochote bungeni ndani ya miezi mitatu.
Dalili hizi na nyingine mnazozikumbuka ni ishara tosha kuwa upinzani wa tanzani unaelekea ukomo.
USHAURI WANGU;Tuwakatae na ikiwezekana 2020 tuwanyime kura,maana nafasi hizo wanazozichezea wapo watu muhimu sana ndani ya CCM wanaweza kuzishika na kusimamia vyema shida za watanzania
Viva Magufuli,Viva tanzania.