Kinachofurahisha zaidi ni kwamba comments za wananchi wengi juu ya maamuzi ya UKAWA ni negativu. Ka kweli wananchi wengi huku mitaani wanalaani sana walichofanya ukawa jana. Nimepita jana mitaa kadhaa kama Mfaranyaki, Bombambili, Makambi, Mateka, Mjimwema, Matarawe, hapa Lizaboni, Lilambo na kwingineko hakika wananchi wamekasirishwa sana na walichofanya UKAWA
hii mitaa uliyopita wanaishi mapoyoyo na magumegume ila mitaa inaoshi waelewa wanajua kuwa ccm is dead!