Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,957
- 103,309
Yaani nawashangaa wapinzani kwa tafsiri yao ya maendeleo kuwa ni wao kuwa madarakani! Du!
Kama viongozi wa upinzani wameshindwa kuonesha umma wa wapiga kura matumizi mazuri ya ruzuku, demokrasia ndani ya vyama vyao, na udhibiti wa lugha wanayotumia kufikisha ujumbe wao, hakika bado ni wanasiasa uchwara.
Sijui hata unaongea nini boss, maendeleo ni jambo tofauti na madaraka, ila ili uweze kuleta maendeleo ya nchi inabidi uwe madarakani.
Sijui unaongelea kura zipi, maana huwa tunaona wapinzani wakipata kura tena nyingi tu, labda ungesema huwa wanapata kura 0.