Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,681
- 1,698
Mafanikio tuliyoyapata kwenye timu yetu ya taifa chini ya kocha Macio Maximo hayatasahaulika. Lilikuwa kosa la kiufundi kwa kocha huyo kukubali kuifundisha Yanga, ila kama Azam FC walipoachana na kocha Joseph Omog wangemuajiri Maximo kwa kweli timu yetu sasa hivi ingekuwa inacheza soka la uhakika. Hata hivo benchi la sasa la ufundi naliamini litatuletea soka murua na la ushindi. Mungu ibariki Azam FC leo na siku zote. Amen.