Mtazamo wangu juu ya uundwaji wa baraza la mawaziri!

CBZ usipatazame sana hapo ulipoangukia, utaona damu yake inamemwagika uende hospitali ukatibiwe halafu tena kesho ujikwae.

Dili na wapi ulijikwaa, ili kama kuna kisiki ukiondoe ili kesho ukipita usijikwae tena.

Usiwe kama mfalme mmoja aneyeamini kuwa kuwa kugawa neti Malaria haitakubalika wakati kuna mazaria ya mbu yamejaa na hayafanyii kazi yoyote.
Je watu watembee barabarani wamejifunika neti??:A S-alert1:
 
hapa unamaanisha nini? sijakuelewa hata kidogo!
 
Tanzania ni nchi ya kidemokrasia. Kama nchi ni ya kidemokrasia maana yake ni 'of the people by the people for the people'...therefore, a government of the people, by the people, for the people, shall not perish from the earth (Abraham Lincoln).

Sisi wananchi kupitia uchaguzi mkuu, tunawapa ridhaa viongozi fulani (wachaguliwa sio wateuliwa!) kutuwakilisha kwenye ngazi za juu za serikali. Serikali ni sisi wananchi na sio 'chama'.

Chama kwa kutumia sera zake kinatekeleza katiba ya nchi kwa kujali masilahi ya taifa. Sisi wananchi tunawapa ridhaa wabunge watuwakilishe sisi (kwasababu sisi sote hatuwezi kuongoza nchi kwa wakati mmoja). Pia, sisi wananchi ambao ndio serikali ('of the people') tunampa ridhaa mheshimiwa rais ya kusimamia (sio kutawala kwasababu democratic government is 'for the people by the people').

Suala linakuja kwenye uteuzi wa mawaziri!! Tangu historia ya kufanyika kwa taifa la Tanzania, sijawahi sikia kwamba kuna WAZIRI ambae alishawahi kuteuliwa kutoka katika vyama vya upinzani (tangu vyama vingi vianze, 1995).

Katiba inasema waziri atateuliwa na rais wa chama tawala kutoka kwenye jopo la wabunge! Kama hivi ndivyo; sasa sisi wananchi tumewapa ridhaa wabunge wa wa pande zote mbili (chama tawala na upinzani. Ukumbuke pia kuna wagombea wa chama tawala ambao hatukuwapa ridhaa yetu!).

Inakuwaje, mara kadhaa kuona waheshimiwa marais wakiteua wabunge 'fulani' ambao hatukuwapa ridhaa yetu kuwa wabunge! Baada ya uteuzi wao, wabunge hao hao wanakuja kuteuliwa uwaziri!

Je, kuna haja yeyote kwa rais kuteua mbunge ili baadae aje kumteua kuwa waziri kwa kudhani kuwa anafaa (yeye binafsi kama rais au kwakushauriwa na wasaidizi wake) na kuacha kuteua baadhi ya mawiri kutoka kwenye jopo la wabunge ambao waliopewa ridhaa ya wananchi?

Kama sisi wananchi tunaimani na wabunge tuliowapa ridhaa kupitia uchaguzi mkuu, iweje yeye kama yeye asiwe na imani nao kwani sisi ndio tumempa ridhaa yeye ya kusimamia utekelezwaji wa sera za masilahi ya taifa?

Binafsi, nina imani kwamba kuna wabunge ambao wanatoka kwenye vyama vya upinzani (waliopewa ridhaa ya wananchi na sio kuteuliwa!) wenye uwezo mkubwa wa kusimamia wizara kwa uwezo mkubwa zaidi kuzidi hata hao ambao wameteuliwa kuwa mawaziri (haijalishi kama waliteuliwa na rais au ni kwa ridhaa ya wananchi).

Kama kuna wabunge wenye uwezo wa kusimamia wizara kutoka kwenye vyama vya upinzani (wenye ridhaa ya sisi wananchi), ni KWANINI HAIJAWAHIKUTOKEA HAPA TANZANIA KWA WABUNGE HAO KUPEWA UWAZIRI? JE, WAHESHIMIWA MARAIS (HAWA WALIOPITA) HUWA WANALINDA 'INTEREST' YA CHAMA TAWALA?

Nijuavyo mimi ni kwamba kwenye ngazi za serikali, kila mtendaji ni lazima afuate katiba ya nchi! (pengine kwa kutumia sera/katiba za chama husika, na nina uhakika katiba za vyama hazipingani na katiba ya nchi). KAMA HIVI NDIVYO, KWANINI WABUNGE WA VYAMA VYA UPINZANI HAWAPEWI NAFASI ZA KUWA MAWAZIRI HATA KAMA WANAUWEZO MKUWA KIUTENDAJI KUWAZIDI HATA BAADHI YA MAWAZIRI WALIOPEWA NAFASI HIZO? TATIZO NI NINI HASA?

Kama tatizo ni katiba ya nchi, serikali inamipango gani juu ya urekebishwaji wa katiba?

Note: Ni mtazamo wangu tu!

Mungu ibariki Tanzania na watu wake!

Hapo ulipomalizia na mimi nihighlight ndipo tulipojikwaa CBZ.
Hawa mafisadi wanapeana vyeo utadhani sisi tumezaliwa tuwatumikie wao milele na sisi watutawale melele
 
Naona tunakuwa wepesi saana wa kusahau. Kuna mbunge mmoja wa CHADEMa aliteuliwa kuwa kwenye ile tume ya madini, mpaka leo hii anaitwa msaliti na majina mengine. Kwakuwa nchi hii tumeamua kuwaachia CCM waitafune basi tukae kimya kabisa.
 
Hata mie namkumbuka alilianzisha Zogo la Buzwagi.
Ila nae kwa maoni yangu namuona yuko RIGID ila SIYO STABLE.
 
Asante sana ndugu yangu, kama ulivyosema huu ni mtazamo wako tu. Nami sioni vema kukulaumu kwa kuwa na mtazamo huu ingawa nina tofautiana na wewe kidogo tu, kwanza hilo suala la rais wa chama fulani kuteua waziri kutoka miongoni mwa wabunge wa vyama vya upinzani haliwezekani.

Nasema haliwezekani kwa sababu, wakati wa uchaguzi mkuu kila chama huingia kwa kunadi ilani yao ya uchaguzi ambayo itakuwa ndio muongozo au vipaumbele vya serikali yao watakayounda iwapo watachaguliwa katika uchaguzi husika.

Sasa inapotokea chama fulani kushinda ni lazima yule mshindi wa urais atateua mawaziri kutoka katika jopo la wabunge wa chama chalke ambao wapo tayari kuitekeleza ilani yao ya uchaguzi na pia kulinda maslahi ya chama chao. Hapa akiweka waziri kutoka chama pinzani inawezekana kutokea mgongano wa kisera ndio maana huwa hawafanyi hivyo.

Na hata kama wewe ndio mbunge toka chama pinzani ukateuliwa na rais kuwa waziri, je utakuwa na amani kutekeleza ilani ya uchaguzi ya chama kingine hata kama ina mapungufu eti kisa tu ni ili rais awateue na wapinzani pia kwenye baraza la mawaziri.

Ujinga mwingine utakaotokea hapa, iwapo rais atateua mawaziri kutoka cahama cha upinzani, chama hicho kwa mtazamo wangu kitakuwa kimepoteza sifa ya kuitwa chama cha upinzani kwa sababu tayari kipo ndani ya mfumo wa utawala ikishirikiana na chama tawala.

Jambo la msingi, naona ni lazima tupate katiba mpya itakayoondoa tatizo hili ikiwa ni pamoja na kuzuia wabunge wasiwe mawaziri ila kazi yao iwe ni kuwawakilisha wananchi bungeni. Pia imtake rais kuteua mawaziri kulingana na wasifu wao kielimu na uzoefu kushika wizara zinazoendana na taaluma zao.Katiba mpya pia imvue rais madaraka ya kuteua wabunge kwa maana wabunge ni wawakilishi wa wananchi, sasa hawa wanaoteuliwa na rais wanawakilisha wananchi au serkali?

Nasisitiza kwamba tuahitaji katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Naona tunakuwa wepesi saana wa kusahau. Kuna mbunge mmoja wa CHADEMa aliteuliwa kuwa kwenye ile tume ya madini, mpaka leo hii anaitwa msaliti na majina mengine. Kwakuwa nchi hii tumeamua kuwaachia CCM waitafune basi tukae kimya kabisa.
Nimezungumzia 'uwaziri'...
 
Asante sana ndugu yangu, kama ulivyosema huu ni mtazamo wako tu. Nami sioni vema kukulaumu kwa kuwa na mtazamo huu ingawa nina tofautiana na wewe kidogo tu, kwanza hilo suala la rais wa chama fulani kuteua waziri kutoka miongoni mwa wabunge wa vyama vya upinzani haliwezekani.

Nasema haliwezekani kwa sababu, wakati wa uchaguzi mkuu kila chama huingia kwa kunadi ilani yao ya uchaguzi ambayo itakuwa ndio muongozo au vipaumbele vya serikali yao watakayounda iwapo watachaguliwa katika uchaguzi husika.

Sasa inapotokea chama fulani kushinda ni lazima yule mshindi wa urais atateua mawaziri kutoka katika jopo la wabunge wa chama chalke ambao wapo tayari kuitekeleza ilani yao ya uchaguzi na pia kulinda maslahi ya chama chao. Hapa akiweka waziri kutoka chama pinzani inawezekana kutokea mgongano wa kisera ndio maana huwa hawafanyi hivyo.

Na hata kama wewe ndio mbunge toka chama pinzani ukateuliwa na rais kuwa waziri, je utakuwa na amani kutekeleza ilani ya uchaguzi ya chama kingine hata kama ina mapungufu eti kisa tu ni ili rais awateue na wapinzani pia kwenye baraza la mawaziri.

Ujinga mwingine utakaotokea hapa, iwapo rais atateua mawaziri kutoka cahama cha upinzani, chama hicho kwa mtazamo wangu kitakuwa kimepoteza sifa ya kuitwa chama cha upinzani kwa sababu tayari kipo ndani ya mfumo wa utawala ikishirikiana na chama tawala.

Jambo la msingi, naona ni lazima tupate katiba mpya itakayoondoa tatizo hili ikiwa ni pamoja na kuzuia wabunge wasiwe mawaziri ila kazi yao iwe ni kuwawakilisha wananchi bungeni. Pia imtake rais kuteua mawaziri kulingana na wasifu wao kielimu na uzoefu kushika wizara zinazoendana na taaluma zao.Katiba mpya pia imvue rais madaraka ya kuteua wabunge kwa maana wabunge ni wawakilishi wa wananchi, sasa hawa wanaoteuliwa na rais wanawakilisha wananchi au serkali?

Nasisitiza kwamba tuahitaji katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Asante mkuu, nimekusoma!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom