Mtazamo wangu juu ya nchii hii na watu wake

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
"Hii nchi haina mwenyewe na kila mtu anaamini yeye ni wa kuja tu na amekuja katika nchii hii kuvuna atakachoweza na kuna siku ataondoka kurudi kwao".

"Aliyezaliwa hapa nae anaamini anapita na kuna siku atarudi katika nchi ya wazazi wake"

"Mzazi na mtoto wote wanaamini ni aibu kurudi kwao wakiwa mikono mitupu".

"Wote wanaamini kufikia katika nchi hii ni sawa tu na ajali kazini".

Mzawa yuko wapi?

"Mzawa alilogwa na aliemloga kafa".
 
Back
Top Bottom