Nilimskiliza mh akizindua safari yake ya matumaini pale Amri Abeid eti walikubaliana na kikwete kwamba 2015 angeachiwa yeye, alidhani nchi nayo ni richmond kwamba waachiane tu.Si kusubiri muda tena....2015 ndio iliyobadili upepo wote ...pengine wengi bado hamjajua nini kinatokea nchi hii ...mtaelewa tu ...wengine hatukupenda kumpigia kura JPM lakini tulilazimika kuokoa taifa kwanza baada ya wenzetu kuamua kuwa vipofu ....sasa Taifa lipo salama pamoja na changamoto zake ....
Pumbafu kabisa hawa jamaa.