mwakajingatky
JF-Expert Member
- May 30, 2018
- 555
- 909
Poleni na shughuli wakuu,
Niende kwenye kilichosukuma kuandika uzi huu..
Bila shaka kila mmoja amejioneanea madudu yanayoendelea kwenye nchi yetu pendwa..(kwa mujibu wa ripoti ya CAG),
Nije kwenye point..
Prof Assad baada ya kukabidhi ripoti yake kwa raisi (ambapo ikulu haikutangaza kuipokea kama tulivozoea kwenye mambo mengine,na isingekua kwa mitandao ya kijamii tusingejua), katika moja ya mahojiano na waandishi wa habari CAG Alizungumza akisema kua ,alimkabidhi raisi ripoti ikiwa kwenye mfumo wa cd kuepuka au kupunguza gharama kubwa za uchapishaji
Pia tumejionea week hii ripoti yake ikicheleweshwa cheleweshwa kupelekwa bungeni,bila ya sababu za msingi
Na mwishoe akaianika CAG ripoti hiyo hadharani kila mtu aisome,akiwa dodoma..
HOJA NA MITAZAMO YANGU
1.tuongee tuu ukweli kwa ripoti
ilivyo,kamwe isingefikishwa bungeni,na ata ingefikishwa ingekua iliochujwa
2.kuikabidhi kwa raisi kwa mfumo wa
cd tofauti na miaka mingine kwa
sababu ya kuofia gharama za
uchapishaji,kwa mtazamo wangu CAG
alikua anajihami ama anaepusha ,au
anapunguza uwezekano wa kuchujwa
kwa ripoti yake na muhimili lengwa,
3.kuiweka hadharani na kila mwananchi
kuisoma kuna mawili,moja CAG
kutetea hoja yake ya udhaifu wa
bunge,..MBILI na endapo raisi
angeagiza ripoti ya CAG ipelekwe
bungeni na kuwa sio halisi (baadhi ya.
sehemu zenye uozo kutolewa) ,hii
ingekinzana na kila mmoja alioisoma
,kwahiyo ripoti halisi ingefika bungeni
Ni hayo tuu wakuu
NB
Tusameheane kwa lugha yangu isiyo ya kisomi,ni sababu ya elimu yangu ya darasa la saba (ambayo kwa namna nyingine najivunia😊😊)
🙏🙏🙏