Mtazamo: Wanaume wapole wanaongoza kwa kusalitiwa na wapenzi wao

Wale wasio wapole...wanaojifanya WAJANJA SANA NA WABABE ndio wanaosalitiwa sanaa.

Ipo mifano mingi tu. Nay wa mitego na maneno yake meeengi na kujifanya mbabe alikuwa anagongewa tu.

Uhuni wa mwanamke ni yeye mwenyewe na tabia yake.
 
Nakutaarifu pia Wanaume wapole wanavutia wanawake wengi. Hali hii hupelekea wanaume wapole kuwa na wanawake wengi hata kama ameoa. Huficha makucha yao kwa upole wao lakini ni chui mwenye ngozi ya kondoo. Mwanaume mpole simuhitaji hata awe bilionea. Najua mwisho wake ni stress. Na watu hawataamini nikiwaeleza vituko vyake, kwa kudhani anaonewa kwa vile machoni anaonekana mpole. The same kwa wanawake wapole na wakimya.
Hahaa!!! Hebu nipe experience kidogo ya wana wake wapole
 
Usaliti ni tabia na tamaa za mtu... Haijalishi upole au ukorofi...

Mwanaume unaweza kuwa mkorofi na bado mwanamke wako akakusaliti...


Thanks God mahondaw wangu ni mwanamke mwenye msimamo sana... Sina shaka nae hata mara moja... Love her sana..


Cc: mahondaw
Jipe moyo,wakati unakomaa kuandika txt JF wenzako wanafanya yao!!
 
Usaliti ni tabia ya mtu sema inawezekana kweli wanaume wapole wakawa wachitiwa sana nawapenzi wao
 
Nilisha jibu swali kama hili. Just a summary.

Women want a challenge, hilo la muhimu. Nilishatoa mfano wa hili pia. Fikiria wewe level yako Tecno, moyoni utaipenda iPhone 6 kwasababu huna uwezo nayo. Siku ukiipata, mzuka utaisha, utasema now nataka iPhone 7. Same with women, wapole wengi ni Beta males, yani kama baba yao. He will do all he can to impress a girl. Women wanasema wanapenda good guys, that's not TRUE. Relationship gets boring, wantaka spark, now and then. Muignore hata siku 2, make a plan and cancel, make her chase you, not you chasing her. Utaona kama she will ever leave. Ever wondered why wanaume wakorofi wanalast na women more than wapole? Wapole ni Mwendo wa kusema sawa in everything.

Summary siku zote ni one paragraph, since huu sio mthihani, acha niongeze.

Good guys(wapole) wengi wao wanacontroliwa na women. Akisema 'Babe kesho twende Mcity kwanza then twende shambani' atakubali. He is thinking he is making her happy, lakini kiukweli anashusha your value as a man. A man you should stand your ground. Make her jealous, look at other women in front of her and wasifie indirectly. She will work hard akuimpress. But ukiwasha green light every direction, atatafuta mwanume, since you aren't acting as one.

Majority of women are wired like that, 1/10 are not. I myself I am more of a beta man, sina muda na kuplay games. But once in a while naignore texts makusudi, akikutumia text jibu after an hour, I think it helped my relationship. Technique is called push and pull, don't exceed and be a douche bag tho

-callmeGhost
*****,silly games for children.. Ukikua utaacha,..unadhani hii ndo siri ya kudumisha mahusiano? If ts not meant to be I wooont happen.. And if ts meant mtahappen tuu
 
Bad boys are existing to have them around. Good boys can be boring.
Rafiki zamani ulikuwa mpole kweli kweli na ulikuwa hauna haya mambo kabisa ila siku zinavyozidi kwenda naona unazidi kuimprove na kushow your true colour!!:).....nipe siri ya hiyo improvement please!
 
With bad boys sometime s you will be wondering where the he'll is he and his phone us switched off. By the time he comes he may come with a bunch of flowers, your favorite perfume or a ticket for your dreaming concert. You will never get tired of being around bad boys.
 
We utakuwa unagongewa si bure! Siyo kwa povu hilo
Tofautisha kati ya povu na fact...
dhambi ya usaliti mnasingizia upole
rudi kwa Mungu wako akusamehe
dhamb ya usaliti ambayo mshahara wake ni mauti ...yuda alimsaliti Yesu akajinyonga badae.
 
Back
Top Bottom