Super Brain
Member
- Apr 17, 2016
- 45
- 38
Kama bandiko langu nililowahi kulieleza kuwa Msimamo wa raisi huweza kuathiri nchi.
Kwani nimekuwa nikifuatilia mwenendo na historia za mataifa yaliyofanya maendeleo ya haraka duniani na zile ambazo zilianguka kiuchumj.
Tazama nchi kama China mpaka kufikia miaka ya 1950 China ilikuwa bado ipo chini kabisa lakini mipango ya Mao ilifanya China iendelee haraka.
Pamoja na sheria kali alizoweka ikiwemo kunyonga mafisadi wakubwa na wala rushwa,watu waliaanza kukaa katika mstari
Katika wakati ule China ikitishiwa na marekani lakini China ilikuwa haitetereki.
Aliwekeza zaidi katika sekta ya kilimo,afya,elimu pamoja na viwanda.
Hivyo njaa haikuwepo kutokana na kuimprove kilimo,elimu ikatengeneza wajuzi,na afya ilifanya ipunguze idadi ya vifo.
Hivyo walipata malighafi kutokana na kilimo.
Pia Ujerumani na Italia walikuwa na lengo la kuyafanya mataifa yao kuwa na uchumi na ongezeko kubwa la viwanda na kutokana na maraisi kufocus na kufanya ikaja ikawa.
Achilia mbali Marekani,Japan.
Kama Raisi anahitaji na ana kiu na kitu Fulani atafikiria na zitakuja mbinu kibao na mwisho was siku atafanikiwa,raisi akiwa amezubaa kuna hatari hata ya nchi ikawa imezubaa na raia wake.
Hebu ona nchi zenye maraisi wazembewazembe nchi zinavyodorola.
Maraisi wenye nia nzuri na msimamo huleta mqbadiliko makubwa nq kukomboa mataifa yao