Mtazamo wa online voters dhidi ya BARAZA LA MAWAZIRI LA JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtazamo wa online voters dhidi ya BARAZA LA MAWAZIRI LA JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by charityboy, Jan 4, 2011.

 1. c

  charityboy Senior Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama inavyoonekana kwenye mwananchi.co.tz

  Je umelipenda Baraza jipya la Mawaziri? Sijalipenda kabisa! 1962 37.1%
  Nimelipenda kwa kiasi 1080 20.4%
  Bado niko njia panda 884 16.7%
  Sijalipenda kwa kiasi 690 13%
  Nimelipenda sana! 679 12.8%
   
 2. c

  charityboy Senior Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanznania inabidi wasubiri na watoe muda kwanza ili BARAZA tulipime kwa UTENDAJI na sio kukurupuka na chuki binafsi. Bila shaka mhe. RAIS aliangalia vigezo vingi kabla ya kufanya uteuzi.
   
 3. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280
  Hizo alama(%) zinakufundisha nini, more than 87% intellectuals hawajafurahishwa hata kidogo?

  Nani ampe shavu Kombaini mtu ambaye alilala hajui kazi kesho yake anaamka kawa wazirr wa katib na Sharia

  Nani ampe Tano Kawa-mbwa ambaye ameshindwa kumudu zaidi ya wizara nne nadni ya miaka mitano

  Unafikiri Wananchi wamefurahi kuona Mzee sIx anawekwa wizar ile wakati yeye kabobea ktk Sheria?

  Nani atoe Tano kwa geresha wizara imemshinda,hatuna tofauti na nchi zisizo na maporomoko na gesi kazi kuongeza gharama

  Nani atoe kura kupongeza uteuzi wa Mtoto wa mkulima,wakati kazi iliyomfaa ni kufundisha wakulima matumizi ya power tiller

  mawizar yamekaa hivyo hivyo ilimradi watu wanakula wanashiba. Siku likitokea tatizo utaona wanavyohaha na kuumbuka!:ranger:
   
Loading...