Mtazamo: Mtoto wa dada na wengineo wengi wajiandae kwenda jela miaka ijayo panapo majaliwa

Daah. Tz kuna mambo mengi ya kufanya, basi hakuna shida mtoto wa Dada aendelee kuidhinishi mapesa ya kumpa anko atoe anaposimama kwenye majukwaa likibuma watafanya kama walivyofanya wenzake.
Natangu lini duniani kukawa na haki?tunajipa tu matumaini eti Kuna siku tutafanana...mmh labda mbinguni,na hata huko aliyekula kala.angalau analo la kuhadithia.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa Dada, yeye kumwaga cash tu kwa amri za kiongozi wa malaika bila documents zozote. Malaika kiongozi anakinga Ila yeye hana. Bahati mbaya akichota pesa ili kugawa arama za vidole vyake vinabaki milele na milele. Mtoto wa Dada kazi unayo baada ya 2025. Na wanakijani walivyokeleka hawataruhusu hata kidogo mpambe wa malaika kiongozi kushika hatamu 2025 kama mzee wa msoga alivyofanyiwa 2015 hadi mnazi ukaokotwa kwenye muembeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota ndoto..angalia tu usije ota umekuwa na mapembe kichwani.
 
Back
Top Bottom