Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Kamanda yule mwenye sifa nyingi ikiwemo sifa ya kuweza kuona mbali na kuwa na ujasiri wa kusema bila woga na ambae hivi sasa yuko ughaibuni,aliwahi sema kuwa mtoto wa dada aliwekwa pale kwa kazi maalumu ingawa baadhi ya watu walimpinga na kumkejeli. Leo hii Mungu si Athumani kwani muda unathibitisha maneno ya kamanda wetu.
Hoja yangu ya msingi hapa si kukumbusha maneno ya kamanda wetu yule,bali ni kuwaonya na kuwaandaa kisaikolojia baadhi ya watu akiwemo mtoto huyo wa dada kuwa wajiandae kwa uwezekano wa kufikishwa kwa Pilato na baadae baadhi, kama sio wote, wanaweza kuiona jela iwapo watakuwa hai nyakati hizo zikifika.
Pia sitashangaa kuona "bwana yule" nae akitwaa mbele ya Pilato kutoa ushahidi kwani hata nae anaweza kuhusishwa/kutajwa.
Kwa hakika watu hawa ni wa kuhurumia sana maana wamekubali kutumika na wameshindwa kabisa kujiongeza.
Naomba niishie hapa.