mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,835
"It's not a issue of comfort and covinience but it's issue of life and Death" M7 jana wakati anaulizwa lini shule zitafunguliwa nchini Uganda....... plz tafakari hiyo nuku ya huyu kiongozi wa UgandaWakuu kufuatia hatua zilizochukuliwa na serikali yetu kupambana na covid 19 hakika kama ingekuwa ni janga basi Watanzania tungekwisha tupukutike!
Shughuli zingine zote zinaendelea, shule na vyuo tu ndio vimesimama, sioni ulazima wa vyuo na shule kufungwa kwa kuepuka corona kama janga kwa nchi yetu
Corona ipo kwaajili ya wazungu huko ulaya, ni zamu yao sasa wacha iwanyooshe
Huku Africa tunapambana na majanga yetu ya maralia, njaa, ebola na mengine mengi
Wazungu wanataka kulazimisha janga lao liwe la dunia nzima...haiwezekani
PM Majaliwa tunaomba usiongeze muda wa kufunga shule na vyuo, watoto warudi kusoma kuanzia tarehe 17 April
Sent using Jamii Forums mobile app