mtingi1
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 945
- 923
Mkuu tuiamini serikali yetu, wao wanauchungu nasi pia. Naamini hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sina maana hiyo, ila hata kwa trend ya ugonjwa huu kwa upande wa Africa hauonyeshi kuwa na madhara makubwa sana ukilinganisha na mabara ya wenzetu yenye baridi kali.Kwa hivyo wewe unaamini sisi ndio tunaweza kuweka vifaa vizuri vya uchunguzi wa afya kuliko Marekani, Ufaransa, Italia, Spain na Uingereza?
Kwanini wale hali imekuwa vile na vifaa vyao vyote?
Subiri huo muingiliano na wenzetu utatupa majibu karibu, tena nasema umeshaanza kutupa majibu.
Si tulikuwa na wagonjwa sita mara siku mbili tatu wakafika 12, na wengi wao ndio wametokana na huo muingiliano unaotaka tuendelee nao.
Ni kweli Mungu hutusaidia, imetupasa kuwaamini pia tuliowapa nafasi kutuongoza kwani wanataarifa sahihi na hivyo naamini hufanya maamuzi sahihi kutokana na taarifa walizonazo au wanazozipata.Acha na hii serikali haya mambo haya bhana ni Mungu tu anatusaidia tu.
Serikali imejitahidi hadi Sasa Kufanya inachotakiwa Kufanya juu ya Janga hili la Corona.
Kwa Upande wetu sisi Wananchi naona bado tunapuuzia Kama desturi yetu Watanzania, Sisi tumekuwa watu wa Kuchukulia poa Vitu/Mambo yaliyo Serious. Huu tunasubiri hadi Hali iwembaya ndiyo tuone Kwamba Jambo ili ni serious, tusifike uko kwani Kinga ni Bora kuliko tiba.
Serikali pia inapaswa Kisimamia kile inachoelekeza Kwa Wananchi wake ikiwezeka enforce hizi taratibu za Kufanya kupambana na Corona. Kwamfano, Askari wa Usalama barabara wanaweza Kushughulikia Suala la Daladala Kujaza abiria Kupita Kiasi, hapa naona ule utaratibu wa levositi unaweza Kurudi tumika.
Suala lingine la Msingi, Serikali ijaribu kutazama namna Bora ya Kudhughulikia na Watu wanaoingia ndani ya nchi Kutoka Mataifa Mbalimbali. Suala la Kutegemea Kipimo ambacho majibu yake hayana uhakika Kwenye ili Janga la Corona sidhani Kama ni busara, ninafikilia hapa tungefanya hili; lakwanza Kupunguza watu wanaoingia nchini na pili wale wanaoruhusiwa kuingia basi wakae Kwenye Karantini kwa siku 14 ili Kujiridhisha Kama wapo fiti, then ndiyo muwaruhusu.
Zingatio :
Maisha ya Mwanadamu ni Muhimu zaidi ya Uchumi, ndiyo Maana ata izo nchi zenye Uchumi Mkubwa dunia Wamechukua hatua bila Kujali Uchumi wao Utadondoka Kiasi gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karantini kama ya akina Diamond au?Si wameambiwa wakirudi ni kalantini... Shida ipo wap
Wewe unazijua aina ngapiKarantini kama ya akina Diamond au?
Sizijui bwashee!Wewe unazijua aina ngapi
Haya hizo hizo za kina diamondSizijui bwashee!
Mbowe ndio anamuogopa Lissu!Zote hizo ni njama za kumuogopa Lissu naona sababu mtakuwa mumeipata
Tundu Lissu 2020 Twende Lissu 2020
Kama Mwenyekiti wako anavyomuogopa Mangula?Mbowe ndio anamuogopa Lisu!