Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke

Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika.

Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma kupitia Escrow na Richmond

Teuzi za mawaziri zikifanyika, wanajua kuna safu ya mawaziri inapangwa ili kulikamua taifa, maana wanaoteuliwa wananukia ufisadi.

Waziri mwenye dhamana ya Biashara anakanusha hadharani kuwa hakuna mkataba au maelewano juu ya uzinduzi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ili hali uzinduzi wa ujenzi ulifanyika.

Ni muda mfupi sana serikali iliyopo madarakani imepoteza imani kwa wananchi.
Sema nyie chato gang ambao mmeanzisha vi Id vipya humu vingi kuleta ujinga wenu

Wasalimie misukule wenzako wa chato, yehodaya, Suzy Elias, Johnthebabist, Stroke na wengineo
 
Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika.

Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma kupitia Escrow na Richmond

Teuzi za mawaziri zikifanyika, wanajua kuna safu ya mawaziri inapangwa ili kulikamua taifa, maana wanaoteuliwa wananukia ufisadi.

Waziri mwenye dhamana ya Biashara anakanusha hadharani kuwa hakuna mkataba au maelewano juu ya uzinduzi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ili hali uzinduzi wa ujenzi ulifanyika.

Ni muda mfupi sana serikali iliyopo madarakani imepoteza imani kwa wananchi.
Jisemee nafsi yako......nami pia ni mwananchi.....na nina imani kubwa juu ya serikali hii......

Siempre JMT
 
Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika.

Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma kupitia Escrow na Richmond

Teuzi za mawaziri zikifanyika, wanajua kuna safu ya mawaziri inapangwa ili kulikamua taifa, maana wanaoteuliwa wananukia ufisadi.

Waziri mwenye dhamana ya Biashara anakanusha hadharani kuwa hakuna mkataba au maelewano juu ya uzinduzi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ili hali uzinduzi wa ujenzi ulifanyika.

Ni muda mfupi sana serikali iliyopo madarakani imepoteza imani kwa wananchi.
10 Tena kwa SSH.
 
Watanzania hawajawahi kuwa na imani na utawala wa CCM ndiyo maana Serikali hii dhalim inatumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.
IMG-20200726-WA0000.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika.

Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma kupitia Escrow na Richmond

Teuzi za mawaziri zikifanyika, wanajua kuna safu ya mawaziri inapangwa ili kulikamua taifa, maana wanaoteuliwa wananukia ufisadi.

Waziri mwenye dhamana ya Biashara anakanusha hadharani kuwa hakuna mkataba au maelewano juu ya uzinduzi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ili hali uzinduzi wa ujenzi ulifanyika.

Ni muda mfupi sana serikali iliyopo madarakani imepoteza imani kwa wananchi.
Sukuma gang
 
Bebaneni na gwajiboy mkamfufue huyo mungu wenu, tumewachoka nyie wapuuzi
 
Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika.

Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma kupitia Escrow na Richmond

Teuzi za mawaziri zikifanyika, wanajua kuna safu ya mawaziri inapangwa ili kulikamua taifa, maana wanaoteuliwa wananukia ufisadi.

Waziri mwenye dhamana ya Biashara anakanusha hadharani kuwa hakuna mkataba au maelewano juu ya uzinduzi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ili hali uzinduzi wa ujenzi ulifanyika.

Ni muda mfupi sana serikali iliyopo madarakani imepoteza imani kwa wananchi.
Pole kama hili umeanza kuliona Leo, shida no kuwa unapokuwa mwimba pambio unageuka kipofu pamoja na ukiziwi juu.
 
Back
Top Bottom