Mtazamo: Hatari kuu za kiusalama katika Taifa la Tanzania

Magufuli aliletwa na Mungu makusudi ili Tanzania tufanye mabadiliko makubwa baada ya yeye kuondoka alijaribu Kila kitu sio kwamba akipenda la hasha Mungu alimtumia Kama somo kwetu ili tuangalie nyufa tuzizibe Ila kwakuwa system yetu na deep state ziko slow kufanya mageuzi wanasubiri mpaka d
Itoshe kusema alikuwa ni mgonjwa wa akili wa kiwango kikubwa sana..
 
1) Hivi itakuwaje siku pandikizi au adui yeyote wa Taifa letu akishika madaraka ya uraisi

(2) Hivi itakuwaje siku madaraka haya akipata kichaa,mwendawazimu, adui wa ccm akatumia Mamlaka haya kukifuta chama chenu?

(3) Hivi itakuwaje siku RAIS akaamua kuuza nchi au rasilimali za nchi atakavyo?
Usisema "ikitokea" a 'imeshatokea' tyari mkuu.
 
Hii ni nchi ya kidekteta. Let assume tumepewa uhuru wa kuhoji matokeo mahakamani. Mahakama ipi yenye uwezo wa kutengua matokeo. Huyo atakaye tengua unless awe hapendi kuishi. Sifa hii inapatikana nchi flani flani tu nazo ni zile za kidekteta
 
Inaumiza Sana ila poa 2 mda si mda watajua nguvu ya umma
 
Hapa fisiemu watakuwa wanaku zoom tu, ili mradi kwa sasa wamo ndani ya sinia la biriani.....hawawezi kuamini neno liwalo lote......
 
Nawasalimu wote.

Moja kwa moja kwenye mada, Kama kichwa Cha uzi Hapo juu kinavyojieleza kwamba huu Ni mtazamo wangu TU na Kama nimepotoka nitakubali kushauriwa na kukosolewa kwa staha na matusi yote poa.
Hii thread yako Kuna mwaka au miaka,itakuja kufufuliwa baada yakutokea moja ya hayo ambayo umetia Shaka nayo kaka angu
 
Mungu siku akiamua haya yote si kitu. Gwaji me wanaopinga chanjo 'hawatashindwa' Gwaji ke ni megundua leo 'kumbe ukiwapa hel'

Na akae akijua sisi wengine si wahuni, hatulipwi.

Tafuta hii kideo clip 'Kaka wa Gwajima.... U - tube
Umemsikia leo gwaji me kwamba warembo hawana shida?
 
Umemsikia leo gwaji me kwamba warembo hawana shida?

Huyu Waziri anabahati hiyo clip yake aliyo jichanganya kwa kauli ya maneno kupandana na akajistukia haikutumika. Kimsingi imepotezewa kwa kulinda heshima ya watu flani flani. Ingawa pasi shaka hii piga ni kupige ya ukoo wa Gwajima ikiendelea iko siku itachezwa hapo kanisani ili watu wengi zaidi waisikie.
 
Siku watu Waliojichimbia mzizi chini"Deep state system" na vyombo vya dola vitakapo acha kupendelea na kulinda chama tawala, Tanzania itaendelea Kiuchumi na Kijamii na Kisiasa.

Tanzania ina kila kitu(Ardhi nzuri ,watu wengi, madini kila aina,bandari kuanzia Dar,Tanga,Kilwa,Lindi na Mtwara)kulinganisha na nchi majirani,na lakini hatusogei kiuchumi.
 
Kabisaaa
 
Kirusi kingine hatari kwa usalama wa Taifa letu Ni hi ofisi ya msajili
 
Back
Top Bottom