kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,664
Heading inajieleza, namaanisha kwa jinsi watanzania tusivyopenda mtanzania mwenzetu atuzidi saana, yaani kama kutuzidi atuzidi kidogo tu, aendelee kuwa wa kawaida.
Naamini kabisa kwa tabia hii hata huyu Kiba wanayejifanya wanampenda sana sahivi na 'kuforce' awe juu kilazima ikifikia hatua kawa juu levo ya Diamond zitaibuka team za kutaka kumshusha tu!
Yaani SISI MITANZANIA sijui tukoje!