Mtazamo: Hata Kiba akifikia levo za Diamond zitaundwa team za kumshusha

Ulisema domo kutoa nyimbo 8 kiba nae anaweza bt kiba kwasasa anaishi kwa kusaidiwa backup y insta plus wema.......huoni hpo anajimaliza 2 wakti kipaji anacho yeye ndio anatimu maandazi,kutoa nyimbo nyingi ni kipaji hata radio n weasel kwa mwaka wanatoa nyimbo kibao nazinahit mbaya

mkuu mi nimezungumzia swala la kiba na diomond kuwashindanisha wenyewe wala hawashindani kamwe sasa we unasema kiba hawezi kumfikia diomond huoni upo nje ya mada mkuu #one8 project#Rockstar 4000 presents#Ambassador
 
Mkuu nimekusoma one8 ilikua enzi zile kiba yuko juu sio sasa hivi

sawa mkuu nashukuru kwa kunielewa na tuko pa1 we are all Tanzanian even if u like kiba or diamond god bless them n all work harder lyricist #one8 project#Ambassador#Rockstar 4000 presents TANZANIA
 
sawa mkuu nashukuru kwa kunielewa na tuko pa1 we are all Tanzanian even if u like kiba or diamond god bless them n all work harder lyricist #one8 project#Ambassador#Rockstar 4000 presents TANZANIA

One 8 walikuwepo hadi wakina Amani na Navio, sahivi who are they?
 
One 8 walikuwepo hadi wakina Amani na Navio, sahivi who are they?

mkuuu diomond hamfikiii AY kwa levo za kimataifa sema AY hapewi promo kama domo na wala hapendi sifa c anafanya collabo hadi na wasanii wa USA sasa ngoja yeye afanye utaskia sifa zake #Ambassador
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom