Mtazamo: Hata Kiba akifikia levo za Diamond zitaundwa team za kumshusha

Mkuu kiba yuko vizuri ila kwasasa domo yuko juu anaitumia kipaji chake vizuri......kiba hata akikaza msuli hawezi mfikia hata nusu

unajua mkuu wao wenyewe kiba na diamond wala hawashindani ila cc ndo tunawapambanisha ndo maana kiba atoi manyimbo hovyo hovyo #Rockstar 4000 presents
 
Mkuu kiba yuko vizuri ila kwasasa domo yuko juu anaitumia kipaji chake vizuri......kiba hata akikaza msuli hawezi mfikia hata nusu

kiba na diomond wala hawashindani ila cc ndo tunawashindanisha ndo mana kiba ana nyimbo 2 diamond zaidi ya 8 ingekuwa wanashindana wangetoa nyimbo sawa #Rockstar 4000 presents
 
Hela ya kwenda studio mara kwa mara anayo?
 
mkuu unanitia aibu mbona wasanii wakubwa kama kiba na diomond wanarecodiwa nyimbo bureee ili wakuze jina la studio hata abuu dady alimfuata kiba mwenyewe amrecodie cheketua ili akuze jina na amefanikiwa #Rockstar 4000 presents
 
Hivyo ni vistudio vidogovidogo vinavyotaka kukuza jina ambavyo sio hadhi yake, nenda MJ uone kama utarekodiwa bure
 
kiba na diomond wala hawashindani ila cc ndo tunawashindanisha ndo mana kiba ana nyimbo 2 diamond zaidi ya 8 ingekuwa wanashindana wangetoa nyimbo sawa #Rockstar 4000 presents

Mkuu kutoa nyimbo 8 c tatizo hata akitoa 20 ni kipaji chake......kwahiyo atoe nyimbo 2 kma kiba ili iweje kiba yeye nyota yke iliwaka akaitumia.
Nae domo nyota yke nw imeng'ara anatumia kipaji chake n mafanikio yanaonekana kimaisha na kiuchumi
 
mkuu kwani mi nimesema kama diamond hayupo juu mi nimezungumzia swala la kushindana cc mashabiki ndo tunawapambanisha wenyewe wala hawashindani diamond yupo juu kushinda msanii yeyote Africa umeridhika sasa #Rockstar 4000 presents # one8 projects #ambassador
 
Ulisema domo kutoa nyimbo 8 kiba nae anaweza bt kiba kwasasa anaishi kwa kusaidiwa backup y insta plus wema.......huoni hpo anajimaliza 2 wakti kipaji anacho yeye ndio anatimu maandazi,kutoa nyimbo nyingi ni kipaji hata radio n weasel kwa mwaka wanatoa nyimbo kibao nazinahit mbaya
 
mkuu hujaelewa mada hebu soma post yangu hafu ucoment #one8 project #King Kiba 4really
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom