#COVID19 Mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona ni matokeo ya kivuli cha Hayati Magufuli kinachoishi

Tukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndiyo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na ushawishi.

Hivyo Msimamo wake juu ya chanjo ya Korona kabla ya kifo chake umebaki mioyoni na akilini mwa watu kiasi kwamba hadi leo asilimia kubwa ya Watanzania hawana Imani na chanjo hizi.
Nisahihi kabisa. Serikali navyama vyasiasa inajambo kubwa lakujifunza kupitia hili.

Watakiwa kuwa makini Sana kwenye kuwapa watu waaina ya magu na kinagwaijima nafasi Kamaza urais ubunge au udiwani. Watu waaina hii wanaweza kuleta madhara makubwa sana kwenye jamii naserikali.

Hakuna dawa au chanjo ambayo ina zero side effects, hata dawa za uzazi wampango zinamadhara yake lakin kma nchi tutaamua kutofata mambo yauzazi wa mpango madhara yatakua nimakubwa zaid. Aina hii ya watu wanaweza kuliasababishia taifa madahara makubwa kwa muda mrefu sana
 
Tukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndiyo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na ushawishi.

Hivyo Msimamo wake juu ya chanjo ya Korona kabla ya kifo chake umebaki mioyoni na akilini mwa watu kiasi kwamba hadi leo asilimia kubwa ya Watanzania hawana Imani na chanjo hizi.
Huyu hapa daktari bingwa mwenye CV ya kueleweka na yeye alilishwa sumu na JPM?? Timu chanjo inaweweseka!! Imeishiwa hoja!! Zaidi ya asilimia 50 ya wamarekani wamegomea chanjo ya aina yoyote, mpaka Biden amelazimika kuahidi hongo ya dola 100 kwa kila atakayekubali kuchanjwa, hao nao walilishwa sumu na JPM??
 
Mkuu hili suala ni kweli Ila hata Kama Magufuli angesema chanjo zinafaa, bado Kuna watu wengi wangezikataa.

Nakupa mfano. Marekani na Europe Kuna watu wengi sana wanazikataa chanjo, hapo napo utasema walimsikiliza Magufuli?

Hili suala naona watu wanampaisha tu Magufuli
Aisee local contents unachanganya na international contents!? Una tabu pahala

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Inatakiwa majibu ya kitaalamu ili kuwaondoa watu shaka, na hii ni Dunia nzima.
20210731_155359.jpg
 
Ilikuvusha ww uliyekuwa hai, lakini iliua watu kadhaa kama ifanyavyo sasa. Kilichofanyika kipindi cha utawala wa yule mtu muovu ni kuficha data fullstop.
Tupe data za jana basi angalau tujue trend.Chuki zenu kwa Magufuli zitawatafuna sana.RIP Nabii
 
Biashara ya chanjo Tanzania imebuma!! Kwa tahadhari tu, cha Biden hakiliwi bure! Mjipange mtakavyotapika hicho kitu kidogo!! Anatunguaga kwa drone huyo, ohoo!!!!
 
Tukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndiyo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na ushawishi.

Hivyo Msimamo wake juu ya chanjo ya Korona kabla ya kifo chake umebaki mioyoni na akilini mwa watu kiasi kwamba hadi leo asilimia kubwa ya Watanzania hawana Imani na chanjo hizi.

we shoga issue ya chanjo kukataa, kusita, kuuliza ni dunia nzima
 
Teknolojia ya mRNA iliyotumika kutengeneza chanjo ndo yenye utata hasa ukizingatia madhara yaliyokwisha jitokeza na ambayo yanatarajiwa katika muda wa angalau miaka 10 ijayo, hii imesababisha hata chanjo zinazotumia teknolojia tofauti kama Sputnvik ya urusi na Sinovac ya china nazo kutiliwa mashaka.....tangu historia ya chanjo duniani, hii ya covid-19 imetiliwa mashaka sana kutoana na aina ya teknolojia ya kuingiza vinasaba kwenye mwili wa binadamu ili vitumike kutengeneza vichocheo vya kinga ya mwili jambo ambalo linaonekana kama kujaribu kuingilia maumbile asili ya binadamu (genetic manipulations) na jinsi mwili unavyotakiwa kutambua chembe chembe za virusi vya magonjwa na kuvitofautisha na seli za mwili wa binadamu......
 
Imefikia watoto shuleni wakiona gari la msalaba mwekundu wanaruka kutokea madirishani hi ni hatari.
 
Ilikuvusha ww uliyekuwa hai, lakini iliua watu kadhaa kama ifanyavyo sasa. Kilichofanyika kipindi cha utawala wa yule mtu muovu ni kuficha data fullstop.
Kuficha data au laa ukiacha ushabiki wa kisiasa na chuki binafsi utaelewa ninachokielezea. Kwa msongamano wa kwenye madaladala, sokoni. Mashuleni bila kinga wala tahadhari ukilinganisha na idadi ya vifo utakuwa hujielewi kutambua kuwa herd immunity ndio iliyotuvusha.
 
Tukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndiyo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na ushawishi.

Hivyo Msimamo wake juu ya chanjo ya Korona kabla ya kifo chake umebaki mioyoni na akilini mwa watu kiasi kwamba hadi leo asilimia kubwa ya Watanzania hawana Imani na chanjo hizi.
😂😂😂😂😂😂😂😂

BIOLOGY TEST.

Jibu swali lifuatalo

1. Ukipata chanjo unaweza kupata corona? = Ndiyo

2. Ukipata chanjo unaweza pia kufa kwa corona? = Ndiyo

3. Ukipata chanjo unaweza kutembea bila barakoa? = Hapana

SWALI:
Kwanini upate chanjo?
 
Back
Top Bottom