Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

Hao Hao ukiwatafuta baada ya mwaka au miaka miwili wakiwa mtaani

Unawakuta wako vizuri na wana sifa zote, so unagundua shida si wao ila

Shida ni mazingira waliyotoka kwahyo tusiwalaumu ila tuwape muda waku cope

Na pia sidhani kama yafaa kujumuisha wote,vilaza wako everywhere hata kule kimbiji

Kwa wasio hata na elimu ya darasa 1.
Ukipata binti msomi muelewa means hutochoka maisha
 
Vijana wa siku hizi waoga. Sasa mfano...
Jamaa mwenye demu anaye tarajia kumuoa
Afisa wa Jeshi (JWTZ) alafu yy raia wa kawaida.
Huyu unamshauri vipi.
 
Kwani hizi ndoa zinazo vunjika kila siku ni za wanawake walio soma au wake za watu wanao chepuka ni ambao wamesoma tusikariri tena bora hata alie soma anakua anajielewa
 
Back
Top Bottom