Mtazamo: Bado nashauri chama cha CUF kifutwe

Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,679
3,238
JF.
Napata shida sana na hasa kutokana na hali niliyoiona leo pale Mahakama kuu wakati washabiki wa pande mbili za Prof Lipumba na Maalim Seif walipogongana uso kwa uso. Katika hali kama ile sipati picha endapo Mahakama itatoa hukumu na upande mmoja kushinda na mwingine kushindwa. Kunaweza kutokea uvunjifu wa amani mkubwa sana. Haya mambo tujaribu sana kuyaepuka na kutoyalea. Yasichukue muda mreefu kutayolea maamuzi. Kwa sababu muda ukirefushwa sana chuki inazidi kupandikizwa siku hadi siku.
Naomba tukifute chama hiki tusajili kingine haraka.chondechonde.
 
Sio cuf tu, vyama vibak viwil tu nchi masikin vyama buku vyote vinaangalia fungu la serikal linalotokana na jasho la walala hoi
 
Kweli serikali inapoteza mahela kibao sababu ya ma ruzuku ruzuku haya yanayokwenda kwenye vyama vya siasa. Hizi pesa za ruzuku tunaweza jenga barabara ngapi au vituo vya afya vingapi. Hivi kweli sioni tija katika hili. Kwanini kila chama kisijitegemee. Si kina wanachama na wengine wana wafadhili. Hivi mtindo huu wa ruzuku hata nchi kama China, Uingereza na Marekani upo. Au tunapigwa changa la macho.
Nadhani sera kwa wakati vyama vinaanzishwa ilikua nzuri kwamba tunajengewa uwezo vyama ili viweze kujiendeshaa. Lakini li chama limeshakuwa lizee ruzuku ya nini. Liende kule likajitegemee. Ruzuku zenyewe zinaliwa na wachache tu. Wengine wanazisikia ndotoni.
 
Maalim Seif umekomaa kisiasa kaeni na Prof Lipumba muondoe hii aibu ya kisiasa muimarishe chama chenu.

Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
 
JF.
Napata shida sana na hasa kutokana na hali niliyoiona leo pale Mahakama kuu wakati washabiki wa pande mbili za Prof Lipumba na Maalim Seif walipogongana uso kwa uso. Katika hali kama ile sipati picha endapo Mahakama itatoa hukumu na upande mmoja kushinda na mwingine kushindwa. Kunaweza kutokea uvunjifu wa amani mkubwa sana. Haya mambo tujaribu sana kuyaepuka na kutoyalea. Yasichukue muda mreefu kutayolea maamuzi. Kwa sababu muda ukirefushwa sana chuki inazidi kupandikizwa siku hadi siku.
Naomba tukifute chama hiki tusajili kingine haraka.chondechonde.
Kwa nn ccm ibaki
 
Ndani ya miaka 50 ya utawala wa ccm kimeuawa watu wengi mbona hujakaa ukashauri kifutwe?
 
Seif kaona kuliko kukaa na Kuzungumza na Prof Lipumba ni bora CUF ife
Prof Lipumba kaona kuliko kuruhusu CUF iungane na kina Lowassa ni bora Ife!
Nami nabariki Kifo chake bora kife tu!
 
Hahahaha kifo mubashara sasa hakuna jinsi. Vyama vinagombea madaraka bila kufuata sheria na katiba zao ni aibuu. Hawa jamaa kila mmoja mbabe. hivi wana malengo kweli ya kulisaidia taifa letu na wananchi wake. Sidhani..!! Kama wanaweza sahihisha makosa yao na kukaa pamoja ni safi. Lakini kama ikishindikana basi bado nashauri kifutwe tu kwa sababu mwisho wa siku kitatuletea machafuko. Hatutaki uhasama
 
Ndani ya miaka 50 ya utawa? wa ccm kimeuawa watu wengi mbona hujakaa ukashauri kifutwe?
Hivi kwa mfano ukiulizwa na vyombo vya dola utoe ushahidi kwa hili unaweza ? Nauliza tuu usiogope. Kwa sababu hapa hatuzungumzii ushabiki. Tunazungumzia masuala ya nchi ya msingi
 
Kwa afya ya nchi tunahitaji upinzani lakini kama upinzani unageuka na kuwa uhasama na unaweza leta umwagaji wa damu! Huo hautatusaidia. Wajipime wenyewe kwa hili. After all mavyama yapo mengi, ni utumiaji mbaya wa rasilimali za nchi tuu
 
JF.
Napata shida sana na hasa kutokana na hali niliyoiona leo pale Mahakama kuu wakati washabiki wa pande mbili za Prof Lipumba na Maalim Seif walipogongana uso kwa uso. Katika hali kama ile sipati picha endapo Mahakama itatoa hukumu na upande mmoja kushinda na mwingine kushindwa. Kunaweza kutokea uvunjifu wa amani mkubwa sana. Haya mambo tujaribu sana kuyaepuka na kutoyalea. Yasichukue muda mreefu kutayolea maamuzi. Kwa sababu muda ukirefushwa sana chuki inazidi kupandikizwa siku hadi siku.
Naomba tukifute chama hiki tusajili kingine haraka.chondechonde.
Wewe kama nani ndani ya nchi hii?wewe na jk Nyerere nani wa kumsikiliza?punguza njaa wewe chumia tumbo
 
Kweli serikali inapoteza mahela kibao sababu ya ma ruzuku ruzuku haya yanayokwenda kwenye vyama vya siasa. Hizi pesa za ruzuku tunaweza jenga barabara ngapi au vituo vya afya vingapi. Hivi kweli sioni tija katika hili. Kwanini kila chama kisijitegemee. Si kina wanachama na wengine wana wafadhili. Hivi mtindo huu wa ruzuku hata nchi kama China, Uingereza na Marekani upo. Au tunapigwa changa la macho.
Nadhani sera kwa wakati vyama vinaanzishwa ilikua nzuri kwamba tunajengewa uwezo vyama ili viweze kujiendeshaa. Lakini li chama limeshakuwa lizee ruzuku ya nini. Liende kule likajitegemee. Ruzuku zenyewe zinaliwa na wachache tu. Wengine wanazisikia ndotoni.
Peleka pendekezo waifute ccm ibakie cdm
 
Seif kaona kuliko kukaa na Kuzungumza na Prof Lipumba ni bora CUF ife
Prof Lipumba kaona kuliko kuruhusu CUF iungane na kina Lowassa ni bora Ife!
Nami nabariki Kifo chake bora kife tu!
Dua la kuku hilo utakufa wewe lkn cuf itabakia kama taasisi
 
Hahahaha kifo mubashara sasa hakuna jinsi. Vyama vinagombea madaraka bila kufuata sheria na katiba zao ni aibuu. Hawa jamaa kila mmoja mbabe. hivi wana malengo kweli ya kulisaidia taifa letu na wananchi wake. Sidhani..!! Kama wanaweza sahihisha makosa yao na kukaa pamoja ni safi. Lakini kama ikishindikana basi bado nashauri kifutwe tu kwa sababu mwisho wa siku kitatuletea machafuko. Hatutaki uhasama
Utakufa wewe
 
Back
Top Bottom